Rais Kikwete ziarani tena, Tanzania ina waziri wa mambo ya nje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete ziarani tena, Tanzania ina waziri wa mambo ya nje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, Jun 29, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu wetu yuko kwenye pipa akielekea equatoria guine. Hii sasa inatisha make ikulu ni kama kuna miba vile.
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  una uhakika??,,sitathubutu kuamini hili!
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  ya tbc wamealifu hilo kwenye taarifa ya habari, yuko kwenye pipa mida hii akikata anga kuelekea equotorio guine
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Equatorial Guinea? Masalala! Kuna nini huko? Karudi juzi tu kutoka Ulaya, Seychelles na Malaysia? Jamaa anatembea na ramani ya dunia nini?
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nimecheka sanaa,,wee jasusi mtundu sana
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
   
 7. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
   
 8. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Source???
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Huko kenda kutafuta mrithi wa sheikh yahya
   
 10. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Juzi nilikuwa pale bandarini zanzibar nilimuona tour guide mmoja akiulizwa na mzungu kuwa ni nini maana ya mzungu, alimjibu kuwa mzungu ni mtu anayezunguka! akawapa hadithi ya vasco da gama na columbus kwamba walikuwa wakitembea kila mahali duniani, ndio kisa cha watu weupe kuitwa wazungu. sasa mkulu nae keshakuwa mzungu sijui!
   
 11. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Rais wa URT na Waziri wa mambo ya Nje.
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Jf wote muwe makini na takwimu za huyu mpangaji wetu! Leo anatimiza safari ya 312!!
   
 13. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Safari ya 312 ndani ya mwaka huu au tangu awe rais?
   
 14. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huyu baba kweli ni POPO BAWA, sasa nimeamini maneno ya Prof: Lipumba!
   
 15. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  huamini? Cheki na tbc wakupe habari zaidi. Na sijui kama umecheki tbc taarifa leo usiku.
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
 17. 911

  911 Platinum Member

  #17
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Magogoni kuna kaharufu ka kutoka ferry...Ambako mkulu huenda ana allergy nako!
   
 18. p

  pori Member

  #18
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli huyu mkulu anatia aibu sana. amekuwa kwenye post ya waziri wa mambo ya nje kwa miaka kumi na sidhani kama kuna pembe ya dunia hajakanyaga.kwanza kinachoudhi zaidi ni ukubwa wa misafara yake yenye watu wasio na tija akiwemo huyu mama mwandishi wa habari ambae ana dharau saaana kwa kujiona kafika! pili, na f. lady nae anatembea kivyake na misururu mikubwa. basi tujue moja, ajitangaze pia kuwa yeye ni waziri wa mambo ya nje. sijapata kuona rais anatembelea nchi karibu sita ndani ya miezi miwili. its a shame.
   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Assume 312 ni jumla ya safari zote tangu aingie Ikulu 2005. Sasa, tuchanganue kidogo
  Mwaka mmoja = 12 months. Miaka 5x12 = 60 moths. +6 months (2011)= grand total 66 months. 312/66= 4.72
  Tunaweza kusema kwa wastani Kikwete anasafiri nje ya nchi walau mara 4 kwa mwezi! - No wonder the country is bankrupt.
   
 20. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  tangu lini mswahili akajua maana ya neno <save> wao wanaona sawa kumbe ni makosa makubwa kabisa!
  hawajuai kusafiri bila mpango maalum ni kutokuwa mwelewa,na si lazima kila anapoalikwa aende????????idiot
   
Loading...