2006- power sector master plan

Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,354
1,010
Wakuu,

Katika kitu ambacho bado sielewi ni kuwa hivi kweli serikali yetu inao utashi wa kumaliza tatizo SUGU la umeme? Wakati tunakumbwa na power rationing 2006, kama nakumbuka vizuri serikali ilitengeneza master plan inayoonyesha mipango ya muda mrefu na mfupi kukabiliana na tatizo la upungufu wa umeme. SIDHANI KAMA KUNA SIKU TUMEWAHI AMBIWA TENA UTEKELEZAJI WA PLAN HIYO!!!!

Ukiangalia budgets za iaka yote ya karibuni, hakuna mpango wowote unaoelezewa kumaliza hili tattizo, sanasana tunachokiona tu ni mipango ya "emergence power solutions" Kwanini wanakazia emergence tu, na si long term solutions!!!

Nawakilisha tujadili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom