Nani anamjua aliyekuwa na Cheo alichopewa Nape Mnauye? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anamjua aliyekuwa na Cheo alichopewa Nape Mnauye?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PascalFlx, Jul 2, 2011.

 1. P

  PascalFlx Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa ukisema nani katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi, watanzania wengi wanaweza wakakupa jibu, ila ukiuliza hivi nani alikuwa na hicho cheo kabla ya Nape Mnauye nadhani ni wana-CCM (sio wanatanzania kwa ujumla) wachache sana wana jibu hilo.
  Je hii ina maana Nape anatiza wajibu wake/ ana-overdo kazi zake/ au Anajituma kadri awezavyo kuhakikisha anaifanya kazi kwa ufanisi ?
  Au tuseme huyo mwenezi aliyekuwepo kabla ya Nape alikuwa hatimizi ipasavyo kazi zake?.
  Je kwa kipindi kifupi alichopewa kazi hiyo kuna dalili zozote kuwa magamba yanafutika?
  Tunajua wazi urafiki waliokuwa nao Mhe Rais na Ndugu Lowasa na Tunajua wazi uhusiano uliopo kati ya Mhe Lowasa na Nape, Je kazi ndani ya chama zitafanyika au tutaendeleza vikundi ndani ya chama?.
  Ila nampa hongera Mhe. Mwenyekiti kwa uteuzi wa Nape kwani anajituma.
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kama sikosei alikuwa Capt Chiligati.
   
 3. P

  PascalFlx Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chiligati sasa ni Naibu katibu mkuu wa CCM bara
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Nape ana kazi mbili ile iliyokuwa ya chiligati yan kueneza chama,na ile ya Tambwe hiza ya kitengo cha propaganda,nape anaonekana kupenda ile ya pili zaidi ya ile ya chiligati.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kabla ya chiligat alikua MAPURI,mnakumbuka upupu wake???????yupo china anakula nyoka
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Asante,na hilo alilidhihirisha mliman t.v
   
 7. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  By the way, Hivi nani alikua Katibu mkuu wa chama chetu kabla ya Dr. Slaa?
   
 8. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35

  Mkuuu nimeipenda hiyo,watu wanaacha kujadili hoja za msingi wanatuletea vyeo vya akina nape vitatusaidia nn ss watz tuliochoka na maisha haya magumu ya mgao wa umeme,
   
 9. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  anzisha thread yako,usipate wazo kwa wazo la mwenzio. Mwishowe utaiga kila kitu kwa watu, ulichobadili ni kuweka "by the way". Nyie mabingwa wa kutoa watu kwenye mada zao.
   
 10. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Hahahahahahahahahha...Dah hata mie simkumbuki!!! Labda kwa sababu kipindi hiko chama kilikua 'Underground'
   
 11. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  du ! Izi zinaitwa pigamwiz kimyakimya tena unamtoboa machoni!
   
 12. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  swal alina mashiko! Ni sawa na kuhuliza kwanin kipind cha mwinyi wapiga kura walikuwa wanachagua kivuli na picha alisi inamaana wazee wetu walikuwa..... Na kama kivuli kingeshinda ingekuwa vp! Tafakar usikurupuke sisiem ina miaka mara mbil ya cdm
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kweli mkuu. Inaonekana ile ya Propaganda anaimudu sana sana huyu bwana! Ktk shughuri zake za uenezi, sera za chama chake zimefunikwa kwa sasa anadeal na uenezi wa propaganda!
   
Loading...