Watanzania wachakachuliwa tena

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
sheria ya 1984 na 15 ib 6 (2)kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhim kwa maisha na shughuli za wananchi na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.kunatetesi kwamba kunamipango iliyo pangwa kwamakusudi kuwahujum wtz tuna vyombo vwa habali tv na redio chombo peke ambacho kinaweza wafikiya wtz hadi vijijini ni tbc taifa chakushangaza wanatangaza bunge saa 1 ifikapo saa4 wanakata nakuendelea kupiga miziki hiyo haitoshi bunge jioni napo hawatangazi wote tunajuwa kwasasa umeme mugao umepamba moto ataukiwanativi bado nikopo inasemekana hojaa za nguvu nikuanzia saa 4 naile jioni wanataka wengi wasisikie hojaa zaupande wapili wenzetu sikaziyao kusema mazuli ya ccm ila uozo mimi kama mtz nawengine wote tbc nichombo cha walipa kodi watangaze bunge kuanzia mwanzo asubui na jioni hiyo ni hakiyetu haina ulazima mpaka kuandamana kuidai hii hakii ni nawaagiza wahusika kama muajili wao walejee kifungu cha sheria ya 1984 na 15 ib 6 26(1)kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii katiba hii na sheria za jamhuri ya muungano.Kwanini munakiuka haki za musingi? hampo juu ya shelia nawasilisha
 
wahusika ebu liangalieni hili talifa nimhimu hususani bunge kwasasa kujuwa kinacho endelea huko bungeni
 
Back
Top Bottom