Siasa za UDSM kutimiza miaka 50

MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
555
915
Nimeshangazwa na siasa zinazoendelea kichinichini kuhusu umri wa Chuo Kikuu Cha D'Salaam.

Kuna pililapilika za kusherehekea miaka 50 ya Chuo hicho ifikapo October mwaka huu.

Maana yake ni nini? Maana yake kilianza mwaka 1961 tena kabla ya Uhuru.

Je, kwa nini mara kadhaa huandikwa kwamba kilianza mwaka 1970 na Nyerere akiwa Chancellor wa kwanza tangu mwaka huo.
 
Siasa zimevamia hadi taalum nchi hii hakuna mwenye maarifa ya kueleza ukweli tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom