Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa hivi tunaona vijana wengi wakiungana kufanya vitu kwa pamoja kwa nia ya kujiendeleza na kuendeleza taifa kiujumla? Tumeona Maxcence Mello na mwenzie wakianzisha JamiiForums, tunaona jinsi...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Bandari ya Mbambabay- Mkoani Ruvuma kando ya ziwa Nyasa NI nchi chache duniani zinazoweza kuwa na jiografia nzuri kama Tanzania, halafu ziwe dhaifu katika matumizi ya jiografia hiyo katika...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
mpeni hii riport na yeye aone .... na huu ni ukweli mtupu.. usimpe kabla hujausoma hadi mwisho......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Britain's biggest selling Newspaper and has more than 160 years on the business.Kutokana na scandal ya phone hacking News corporation ambayo inamilikiwa na Murdoch wamehamua kulifunga Kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?. zitto Mbowe Regia Lema Msigwa,peter kwa leo tuanze na hawa...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Wandugu napenda kuulizia ilie swala la madiwani wa CDM Arusha kuingia muafaka na wenzao wa CCM, tuliambiwa Viongozi wakuu wa CDM waliunda tume kuchunguza kama kulikuwa na harufu ya rushwa. Nina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Toka tupate Uhuru nchi yetu imekuwa ikitumia fedha nyingi sana kwa ajili ya ujenzi wa barabara za lami hapa nchini. Bahati mbaya mpaka sasa idadi ya kilomita za barabara za lami hazifiki km 10,000...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa miaka takribani 10 iliyopita nilikua sijawahi kusikia sauti ya mbunge wa jimbo langu ikisikika bungeni. Sijutii uamuzi wangu na gharama nilizozitumia kusafiri kutoka Kigoma hadi Iringa kwenda...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Nameanza Kupata Kitambi nilichokuwa nakitafuta sana nionekane kama mheshimiwa Misosi Bab kubwa Kwa Offer hii ya Chef Pride Restaurant kuanzia saa nne Usiku kila siku kwani hii offer imekuwa ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nadhani hii ni ''biggest joke statement of the year from JK'' Anawaambia watendaji wake ''Nawashangaa viongozi/watendaji wangu wengi wa CCM wamejisahau, hawafanyi majukumu yao na wanaendekeza sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu Mwenezi wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi Bw. Nape Nnauye ametajwa kama mlengwa wa waraka wa siri ambao unakituhumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa mpango wake wa kupinga...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Mwandishi Wetu 6 Jul 2011 MAJIBU ya wiki iliyopita ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda bungeni, yanaweza kuwa yamevuruga hoja ya waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna wale ambao siku zote inaposemwa kwambahistoria ya nchi imepindishwa wanakuja juu kuitetea CCM kwamba haikuipindisha popote. Humu JF wamejaa wengi wa aina hiyo Aina hii ndio wale ambao CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gazeti la mtanzania la leo tarehe 8/7/2011 front page kuna maoni kuwa Dr.Slaa hamtendei haki Andrew chenge. Sasa sijaelewa hawa mtanzania wana nia gani? Sijui wanajamvi mnalionaje hili swala,au...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
nawashangaa sana ccm wanavoteseka na mtandao wa chadema. hivi katika dunia hii unaweza vipi kuvunja mtandao?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Mwanza, Francis Mkambenga, alisema hali ilikuwa tete na kwamba operesheni hiyo ilikuwa imepangwa kwa ajili ya kuwaondoa machinga katika eneo hilo la msikiti na...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
DILA ndio njia mwelekeo na mwongozo wa lolote lile tunalolitenda.Hata vijijini walikotoka wazazi wetu,kabla ya utekelezaji wazee wanakaa wanatoa mwelekeo kuwa jambo hilo lifanyike kwa namna hii na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuanzia saa 2 hii asubuhi kumezuka mapigano kati ya police na machinga maeneo ya katikati ya jiji watu wanakimbizwa huku na kule. Maduka yamefungwa, sokoni hakuendeki! Watu watano wameripotiwa...
7 Reactions
263 Replies
32K Views
Ukimaliza kusoma hii article utazidi kujua jinsi gani wasomi wa Afrika kweli ni mitihani tupu, Africa yangu hii S.Africa urged to put squeeze on Swazi king Thu Jul 7, 2011 3:30pm GMT...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gazeti la Tanzania Daima la leo linatutaarifu ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru Dr. Hosea ameitikisa Ikulu baada ya kubainika aliongea na Shushushu wa Marekani juu ya JK kuwa ni kikwazo cha...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…