The biggest joke statement from Prezidaa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The biggest joke statement from Prezidaa!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Jul 8, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Nadhani hii ni ''biggest joke statement of the year from JK''
  Anawaambia watendaji wake ''Nawashangaa viongozi/watendaji wangu wengi wa CCM wamejisahau, hawafanyi majukumu yao na wanaendekeza sana STAREHE...tumewapa magari mazuri(V8) lakini hawataki kwenda vijijini...''.

  Amenukuliwa na Magazeti mengi ya Leo hii.

  Hivi Baba akipenda starehe watoto watakuwaje?? Hajui kwamba yeye ndiye kinara wa kwanza kufanya STAREHE kuliko Prezidaa yeyote hapa Tanzania. Na hizo trip za nje?? Ye hajui kwamba akiwa nje ndio watoto wanatumbua hela za walipa kodi huku?yeye halijui hilo??

  Tangu uchaguzi uishe ukiaacha trip Mwanza na daraja lake la Maragalasi ni vijijini gani JK ameshaenda?? Tuseme kuwashukuru tu wapiga kura wake hajafanya hivyo hadi leo. Sasa watendaji wasimwige Mkulu kwanini??yeye ndio mfano!!
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwanini ashangae. Si achukue hatua???
  Kweli inakatisha tamaa sana kuwa na viongozi kama hawa.

  Juzi kasema tatizo la umeme sio ngeleja. Angekuwa na uwezo angepeleka wingu kwenye mabwawa ya umeme.
   
 3. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkulu JK chukua hatua kwa watendaji wako wanaopenda anasa,
  acha kulalamika unatukatisha tamaa tuliokuchagua sasa,
  kama vipi timu wote, tuanze moja,
  watu wakushika hizo nafasi wapo wengi sana hata kama ni kutoka upinzani maana wote sisi si waTZ,
  maana tangu semina elekezi ni kulalamika tu!!!
   
Loading...