Chadema ni Mtandao...wanaohangaika na ngome wanapoteza muda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema ni Mtandao...wanaohangaika na ngome wanapoteza muda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Script Kiddies, Jul 8, 2011.

 1. S

  Script Kiddies Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawashangaa sana ccm wanavoteseka na mtandao wa chadema. hivi katika dunia hii unaweza vipi kuvunja mtandao?
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Fafanua
   
 3. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujui maana ya mtandao?
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, bado ujaeleweka fafanua vizuri
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  well said
   
 6. C

  Capitalist Senior Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Anamaanisha CDM ni mtandao zidi kuenea nchi nzima kila kukicha Magamba wanaangaikia strategic areas maarafu kama ngome wakiwa wanajua kwamba wakisisupress hizo watakuwa wameidhoofisha Chadema, kumbe Cdm inazidi kuenea nchi nzima kazi wanayo.
   
 7. mchuziwanyoka

  mchuziwanyoka JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hueleweki wanaopoteza muda ni nani serekali au nani
   
 8. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  yah watapata shida sana na bado 2015
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa nawashangaa sana wabunge wa CCM kuwashambulia wabunge wa CHADEMA bila kujiuliza who is CHADEMA? 48 MPs?
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naona unadandia pipe kwa mbele namwambie muanzisha thread hii, aweke thread yake vizuri wasomaji wachangie vizuri
   
 11. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nch nzima chaguzi za ngazi ya vijiji / mitaa, shehiya na kata za viongozi wa Chadema inaendelea kila kukicha. Mtandao unaongezeka na kukua.Kipi hakieleweki?
   
 12. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  muweka mada amechokoza lakini kwa akili sana...

  Mh John John Mnyika aliliweka hili hadharani siku moja.... Chadema ni MOVEMENT. inajenga mioyoni mwa watu. huhitaji kuona ofisi na magari kujua kuwa chadema inaishi kama vilivyo vyama vingine lakini inaishi......na inakua....

  ndio maana wengine kwa nje huonekana kuwa ni CCM, na wanapewa vyeo vikubwa serekalini lakini ndani ya koti ni vidole viwili...

  kwa maana hii ya mtandao hata uchukuaji wa nchi utakuwa usio na machafuko...kwani hata mahakamani ipo, hata polisi ipo, jeshini ndio usiseme, mashuleni ndio kabisaaa, mahospitalini mwendo mdundo, hakuna anayehofia kupoteza kibarua chake chadema ikichukua nchi kwani wote ni wake....

  ndio maana huwa tunawashangaa watu wanapowasumbua kina mbowe na kina slaa....hivi nani alijua kuwa kuna vifaa zaidi ya slaa nyuma ya kapert? eg tundu lissu?

  hao walio mbele ambao ni viongozi wetu eg dr slaa na mbowe na zitto na etc etc ni viongozi.....na tunawaheshimu.....lakini mnapotemper nao mkidhani kuwa ngome imeanguka mmepotea njia.....

  kwanza katika mazingira ya kawaida ya siasa za TANGANYIKA chadema ingeshakufa kama sio utendaji wake wa kazi wa kiMOVEMENT!

  NAWAKILISHA
   
Loading...