Ubungo,kawe,hai,moshi mjini na majimbo ya cdm umeme kero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubungo,kawe,hai,moshi mjini na majimbo ya cdm umeme kero

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nzom, Jul 8, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naomba kabla ya kunijibu unisaidie hili kufikili kwa nn majimbo yenye wawakilishi wa cdm yana kero sana ya umeme na matatizo plz let us think for that
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nimefikili sana, na nikagundua umetumia tumbo kufikiri
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  si kweli, kinondoni ni ccm na kuna kero mpaka keroro
   
 4. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haha hahaaa gurta umemjibu huyo..
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mjini kati pia ni CCM, kuna kero ya umeme kibao.
   
 6. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kajipange upya dogo ndio uje hapa....hapa huwa haturupoki tu bila ya kufikiri.
   
 7. n

  nzom Senior Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Take some time to think then utapata jibu
   
 8. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,859
  Likes Received: 4,540
  Trophy Points: 280
  Kwanza jiulize pia kwanini Chalinze, Igunga, Bariadi, Monduli, Bagamoyo, Kongwa, Kigoma Mjini, Tandahimba, Same, Moshi Vijijini (the list goes on) wana kero sana ya umeme, maji, madawa n.k.?!?!?
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwanza umeme ni kero kila sehemu si maeneo hayo tu uliyo yataja. Wapi panakua na umeme kwa muda gani hauamuliwi na wabunge bali hao wenye mamlaka ya kukata umeme. Kwa hiyo nadhani umeanza na makosa ya kuissolate hayo maeneo kana kwamba yanakosa umeme kutokana na uzembe wa wabunge wao.

  Pili, swala kubwa kama la umeme si la mbunge kutatua. Mbunge anaweza kusaidia kuweka nguzo za umeme kwenye jimbo lakini umeme kuwepo au kuto kuwepo si kazi yake. Hilo ni swala la serikali kutatua.

  Kwa hiyo mkuu naomba ukamuulize JK na waziri wake wa nishati Ngeleja ni kwa nini maeneo hayo hayana umeme? Kama watu hao hawana majibu basi hata hao wabunge hawawezi kuwa na majibu kwa sababu wabunge hao hao wa hayo majimbo ndiyo kila siku bungeni wanaikaba koo serikali kuhusiana na tatizo la umeme.
   
Loading...