Huu si usaliti ndugu zangu?

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,627
37,826
Kwa mtindo huu kazi tunayo: wenzetu hawa ndiyo wanaokuja kutukopa majumbani lakini jioni ya jana walionekana na furaha kuu eti wakikumbuka kuanzishwa kwa TANU, jamani huu siyo usaliti au wenzetu hawaishi Tanzania hii yenye shida lukuki?

Jamani kwa shinda hizi tulizonazo: 1: MAJI: 2: UMEME: 3: CHAKULA BEI JUU: 4: PETROL HAISHIKIKI: 5: MALAZI BEI JUU: 6: MISHAHARA HAIKIDHI MAHITAJI YA MSINGI 7: ADA ZA SHULE NI JUU: 8: KAYUMBA SCHOOLS HOVYO KABISA, je tukimbilie wapi?

AT THE SAME TIME - ANGALIA HAWA WENZETU WANA FURAHA KUU HAPA: Huu si ni usaliti, watanzania wenzetu wanatusaliti hivi hivi , raha gani waliyonayo hawa watu kama si unafiki?

2.JPG

au ndiyo kuweka shida chini, kutupa mikono juu kubajuka na chama twawala as long as chochote kidogo kimepatikana mifukoni? ukitoka hapo shida ni zile zile.
 
Magamba wanajua jinsi watz tulivyokuwa kondoo ndugu yangu,wewe na shida zote hizi tulizo nazo mtu na akili zako huwezi ukawa unafuaraha namna hiyo
 
Wanakesha na giza hili la ngeleja kweli wa TZ wananunuliwa kwa ugali
 
Ungetakiwa utafakari na kuchukua hatua, wewe unaweza ukawa ndo chanzo cha furaha yao.
 
hilo lidada hapo limechapa mkorogo hadi limechukiza aisee
 
nasikia kulikuwa na pilau la bure usiku na chai ya maziwa - ha ha ha

ccm oyeeeeeeee ----

ccm juuuuuuuu --------

tunachukuaaaaaaa tunawekaaaaaaaaa - --- waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

Asubuhi yake hata hela ya chai au supu makwao hawana - wapo hoi sauti zimewakauka, wanye kula nchi nchi wameshaondoka kitamboo...
 
Katika viroja nilivyoshuhudia karibuni ni hili la Birthday celebrations za juzi/jana..ilianza kwa wazee kukalishwa chini pale Bluepearl Ubungo plaza, halafu mkesha Kama zilivyo picha..Ushauri hizi picha zihifadhiwe ili iwe kielelezo tutakapo anza kuwashugulikia wale wote waliotuharibia maisha kupitia kivuli cha chama cha magamba....
 
Kwa mtindo huu kazi tunayo: wenzetu hawa ndiyo wanaokuja kutukopa majumbani lakini jioni ya jana walionekana na furaha kuu eti wakikumbuka kuanzishwa kwa TANU, jamani huu siyo usaliti au wenzetu hawaishi Tanzania hii yenye shida lukuki?

Jamani kwa shinda hizi tulizonazo: 1: MAJI: 2: UMEME: 3: CHAKULA BEI JUU: 4: PETROL HAISHIKIKI: 5: MALAZI BEI JUU: 6: MISHAHARA HAIKIDHI MAHITAJI YA MSINGI 7: ADA ZA SHULE NI JUU: 8: KAYUMBA SCHOOLS HOVYO KABISA, je tukimbilie wapi?

AT THE SAME TIME - ANGALIA HAWA WENZETU WANA FURAHA KUU HAPA: Huu si ni usaliti, watanzania wenzetu wanatusaliti hivi hivi , raha gani waliyonayo hawa watu kama si unafiki?

2.JPG

au ndiyo kuweka shida chini, kutupa mikono juu kubajuka na chama twawala as long as chochote kidogo kimepatikana mifukoni? ukitoka hapo shida ni zile zile.

Sasa hata watu wakihema matalalamika kwamba hawastahili kufanya hivyo kutokana na shida zetu, huku nyie wenyewe mkiwa mnajirusha kwenye maharusi na kwenye vijiwe vya vizibo. Kwani kwa kutofurahi kwenye sherehe unatuambia unasikitika na kwamba hiyo ndo njia ya kutatua matatizo?
 
hawa ndo wanatoka hapo wanaenda kukuiba taulo za nyumba za kulala wageni,pia kila kitu kiko juu mno ulizia hata kondom tu uone
 
Back
Top Bottom