Mbunge Pauline Gekui anatia aibu CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge Pauline Gekui anatia aibu CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Jul 6, 2011.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ndugu wanaCDM huyu mbunge wenu mmemuokota wapi? Kwani akiwa kama Waziri Kivuli Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, amesoma hotuba kichovu sana. SHULE yake inatia shaka ama amepewa ubunge wa viti maalum kupitia sifa za ukoo na eneo atokalo kama ilivyozoeleka ndani ya CDM!
   
 2. Y

  Yetuwote Senior Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeanza vizuri lakini na wewe umemalizia kichovu sana.
   
 3. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  juwa spesific mkuu kasoma kichovu vipi, alikuwa amechuchumaa, au anasinzia au kainama? au haikuwa na points!
   
 4. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio unatia kinyaa......

  Mbona Paulina amechangia vizuri sana pamoja na ugeni wake!!!!

  Ama una lingine zaidi ya kusoma hotuba?
   
 5. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  saa zingine humu jamvini ni burudani tu!
  hii mada imewekwa hapa ili kufunika mada flani ya mh. mtuhumiwa wa wizi!!
  INAMAANISHA MTU ANASAFISHWA!!!
  HIZI NDIZO FIKRA ZETU PEVU WATANZANIA!!!
   
 6. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hauikuwa na mvuto wala hoja za msingi. Nawapa ushauri wa bure akapewe tution namna ya kuwasilisha hotuba ya upinzani bungeni. Pia awe awe anajiamini
   
 7. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mimi nimemwona only once akicontribute wiki kama moja iliyopita, and she was very specific and to the point, she was actually commended for it ...leo sijapata fursa ya kuona hoja zake, ila katika kuchangia ile bajeti ya fedha nilihisi either ni economist or accountant... i stand to be corrected.
   
 8. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwan ulikuwa hujui ndgu atakuwa tu na uhusiano na ukoo wa mtei
   
 9. i

  ithangaledi Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  unatia kinyaa wewe! au umetumwa na nepi kama wenzako
   
 10. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umefulia kaoge
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kujiamini kivipi? acha hoja zako za kimama ntilie
   
 12. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 874
  Trophy Points: 280
  Join Date : 28th April 2011
  Posts : 195
  Rep Power : 21

  HIZI TAREHE ZA BAADA YA KUJIVUA MAGAMBA ZINATUZINGUA HUMU JAMVINI. HII NI LAZIMA NAPE AT WORK.
   
 13. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wewe si gamba sasa huu uzowefu wa upinzani umeupata wapi? Mvuto gani unaoutaka wewe? Kusifia serikali?
   
 14. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Cdm mmezoea matusi badala ya kujibu hoja. Kutofautina mawazo ni sehemu ya demokrasia
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pamoja sana HB!
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Umahiri wa Mbunge na kutetea wananchi haijalishi; Shule ya mtu au umahili wa kusoma hotuba
   
 17. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kweli katia aibu sana kwa fikira fupi kama zako bora wa CCM alieiba taulo hotelini
   
 18. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  crappppppppppppppppppppppppp
   
 19. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  sasa kama kafanya mafyongo watu wasihoji...??
  kwani nyie cdm mmemtoa wapi mtu asiyejua kujipresent mbele ya bunge? ndo ubaya wa kuokoteza wabunge wanaotemwa na vyama vingine...!!
  na mkielezwa watu wa cdm ukweli mnaanza kusema eti kuna mada inapindishwa, Ooooh! mara eti nape yupo hewani anaendesha kampeni ndani ya jf...!!
   
 20. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Weye ukoko kwako ni wali
   
Loading...