wabunge wa chadema wanatisha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge wa chadema wanatisha!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jul 8, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hivi mnafuatilia bunge? wabunge wa chadema wanatisha. tuwape 2015 wabunge wa kutosha kutetea taifa!
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wanatisha wamefanya nini ??
   
 3. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Huyu nae sijui bange, analeta kastory nusu nusu huku tuna mgao wa kudumu bunge utaangalia wapi!
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kweli wanatisha, kama wangekuwa akina lissu, mnyika, mdee kama 40 tu bungeni, basi rais lazma angejiondoa mwenyewe
   
 5. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  wamempelekesha puta wazir wa mazingira na kabajeti kake,
  sema tatizo ni wingi tu wa magamba..laiti isingekuwa hivyo, basi bajet kibao zingegoma
   
 6. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  mbona hilo linajulikana wapo makini na wajua wanachokifanya
   
 7. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Tundu Lisu na Mnyika wanakuambia tunaondoa shilingi for the records. Nimeipenda sana hiyo kauli maana hapo watatuletea wananchi tuone akili za wana magamba kutenga bilion 3 kukarabati ofisi ya makamu wa Raisi Dar na kuweka milion 400 kwa ajili ya kupambana na Mazingira.
  Wananchi tumeona na yametuingia mioyoni 2015 Tutajua cha kufanya
   
 8. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wanatisha Sura zao! Wanapinga kila hoja mbele yao.
   
Loading...