Heshima ya Mh Freeman Aikaeli Mbowe ndani na nje ya Chadema

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Mh Freeman Aikaeli Mbowe Kamanda Wa Anga hata Jwtz wanalitambua jina hilo ndio maana walimpakia kwenye ndege ya Jeshi kutoka Dar hadi KIA. Nieleze umuhimu wa Mh Mbowe kwa Tanzania pia CHADEMA, leo Watanzania wengi zaidi wanapata fursa ya kuwaona na kuwasikiliza wagombea wa Uraisi baada ya Mh Mbowe kuvumbua utumiaji wa Chopper kwenye Campaign.

leo CHADEMA wamepata Uniform ambazo ni maarufu sana na zinazopendwa zaidi na Watanzania kwani hata Viongozi wa CCM wanavaa akiwemo Nape. Leo CHADEMA ina Usemi Slogan ya "PEOPLES POWER" ambayo imewanyima na inawanyima CCM Usingizi akiwemo Kikwete, mkewe na Wasirra. Leo Chadema wana Public Address System za kisasa na bora zaidi nchini kama mali ya Chama.

CHADEMA imefikishwa hapo ilipo na akili na nguvu za ziada za Mbowe. Wote mnaobeza na hata mara nyingine mnadiriki kutukana na kudhihaki ninawachukulia kama Wehu, CCM, Manyang'au, Majuha na msiopenda maendeleo na mabadiliko ya Nchi yetu Tanzania.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema na Mungu bariki kazi ya mikono ya Mbowe mbunge wa Hai.
 
Wanaodai Mbowe ni mbabe na mkandamizaji nawashauri waendelee kusema hivyohivyo.
Na kama ni ubabe na ukandamizaje Mbowe ongeza kwa manufaa ya CDM

Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti as far as his brain works.
CCM wametafuta kwa njia zote kujiingiza CDM ila wameshindwa na wanaelewa Mbowe ndio kikwazo kikubwa kwao kiiharibu CDM

Hongera MBOWE kaza mwendo na ongeza misimamo mikali
 
mbowe ni kiongozi shupavu na mwenye mbinu za kuongoza chama.Lakini siku zote mti wenye maembe yaliyoiva ndo unaopigwa mawe.Viva Mbowe viva CHADEMA.
 
hongera kamanda Mbowe! ana heshima na adabu kwa wote, wadogo, wakubwa matajiri pia masikini!! nakukubali jumla jumla!
 
Kama mbowe analeta udikteta kuiondoa ccm ni dhahiri anafaa, kama mbowe ni mdini mkabila kwakuambia umma ukweli basi anatufaa na udini wake na ukabila wake,kama mbowe anaongoza chadema kama kampuni ila inamafanikio basi anatufaa kwani ameweza kuongoza vizuri mpaka magamba wameanzakujivua. Kama mbowe anapendelea zitto, mnyika, wenje, silinde, sugu, machemli wakaenda bungeni kwa chama cha kikabila basi iacheni chadema iwe ya kikabila ila majibu mnaanza kuyapata.
 
Thread yako ni nzuri na unaonekana kuwa na nia nzuri pia. Tatizo umemalizia kwa matusi, kihuni na hapa sintachangia chochote. Jifunze kuwa na staha unapowasilisha mada zako!
 
Speculation is rife here in Dodoma about Mr Mbowe's notorious addiction to Marihuana. I think he needs to clear himself from all sorts of this scandals before making any attempt to uplift CHADEMA's reputation.
 
Na yule mwizi wa taulo vipi!!??
 
Speculation is rife here in Dodoma about Mr Mbowe's notorious addiction to Marihuana. I think he needs to clear himself from all sorts of this scandals before making any attempt to uplift CHADEMA's reputation.
Hivi mtu huwezi kuusimamia msimamo wako na yale unayoyaamini hadi uwe unatumia bange!!! kama ni hivyo, nyerere alikuwa anatumia ya malawi au arusha, je, mkapa alikuwa antumia cha msumbiji! mtikila anatumia ya mbeya! hebu tuwekane sawa hapa na si masuala ya form two
 
Speculation is rife here in Dodoma about Mr Mbowe's notorious addiction to Marihuana. I think he needs to clear himself from all sorts of this scandals before making any attempt to uplift CHADEMA's reputation.

If it the Marihuana which makes him so effective and popular, I don't see any reason for him to quit. I only have problems with the guys who take the weed and sleep in the parliament. Without mentioning any names, I hope you understand what I mean.
 
Speculation is rife here in Dodoma about Mr Mbowe's notorious addiction to Marihuana. I think he needs to clear himself from all sorts of this scandals before making any attempt to uplift CHADEMA's reputation.

Do you know some called Nape????? do you have any relationship with him in any way, could be in the same political party what I can sense from this kind of post is not from your brain something drive you to post it.............
 
Speculation is rife here in Dodoma about Mr Mbowe's notorious addiction to Marihuana. I think he needs to clear himself from all sorts of this scandals before making any attempt to uplift CHADEMA's reputation.

I am not a supporter of a life - Chairman/chairperson. However, in regard to clearling himself, I will say action speaks louder than words. Nitaeleza mambo manne tu ambayo yanamsafisha
  • Amejitahidi kutunza mshikamano katikati ya mitazamo tofauti iliyopo kwa viongozi na wanachama.
  • Amehimili vishindo vya CCM na propaganda zao ikiwemo ya kumwita mchezesha disko wakati wa kampeni za mwaka 2005.
  • Alikubali kutokugombea urais 2010 baada ya hali kuonyesha kuwa mtu atakayekubalika zaidi ni Dr. W. Slaa. Hii haijawa rahisi kwa vyama vingine ikiwemo CCM ambayo humwachia rais (aliyeko madarakani) kugombea ili tu kumaliza kipindi chake.
  • Ndani ya uongozi wake CDM imeweza kukua kwa idadi ya madiwani, wabunge na hata idadi ya wanachama. Hii ni pamoja na kufunguliwa kwa matawi mengi yakiwemo yale yaliyofunguliwa kwenye maeneo muhimu ya vyuo vikuu.
 
Ingawa yeye ukizungumza naye anaonekana hapendi ku-personalize mafanikio ya haraka ambayo CHADEMA imeyapata nadni ya uongozi wake, lakini ni vigumu kweli, toooooo hard for sure, kuelezea mafanikio hayo bila kuonesha self skills au karsma ya uongozi ya Kamanda Mbowe. Mwanzisha thread kazungumza baadhi ya mambo mengi mazuri, kisera, kiitikadi ambayo Kamanda Mbowe aliyaingiza na kuyasimamia. Mengine tunaweza kuendelea kuyaingiza kama vile muonekano wa bendera ya chama jinsi ulivyo kwa sasa. LAKINI JINGINE MUHIMU KABISA NI RECRUITMENT...AINA YA RECRUITMENT ambayo CDM ilifanya au kuwekeza tangu mwanzo, ambayo imekuja kukilipa sana chama kwa wakati huu. Recrutiment, KNOWING exactly to get right people at right time ni moja ya sifa kubwa za kiongozi makini na mahiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom