Mikakati gani ya kupambana na UCHAKACHUAJI 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikakati gani ya kupambana na UCHAKACHUAJI 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jul 8, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  uchagauzi wa 2010 uligubikwa na wizi wa kura na uchakachuaji. Je nini kifanyike ili haki itendeke 2015? Usalama wa taifa ndo walisimamia uchakachuaji wa CCM. hawa usalama wa taifa na watu wao wa ICT tutakabiliana nao vipi? Inawezekana hawa jamaa wakatafuta mbinu nyingine mpya. tanzania haipigi hatua kimaendeleo maana watu wanaiba kura ili wapate uongozi. tukitaka maendeleo lazima viongozi wawe ni chaguo la wananchi. leo hii makongo mahanga hawezi kueshimu na kuwa mtumishi bora kwa wana ukongo ili hali alishinda kwa kuongeza masanduku ya kura ya kwake mwenyewe
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  dawa ni katiba mpya, tume huru na kujitokeza kwa wingi kupiga kura ili wachakachue mpaka waone aibu wenyewe.
   
 3. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  1:Katiba mpya yenye kuweka usawa kwa vyama vyote vya siasa.
  2:Tume Huru ya Uchaguzi itakayo ongozwa na sernior citizens wanaoheshimika na kukubalika katika jamii.
  3:Nguvu ya Umma.
   
 4. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCM not in favour of Katiba mpya, maana iliyo inawapendelea. Tuwe huru CCM hawataki maana iliyopo inawasaidia kuchakachua. Nguvu ya umma sawa lakini mbinu nyingine zaidi zinahitaji. Je inawezekana kumshitaki mkuu wa usalama ya taifa ICC, the hague? Kwanini tuhuma za uchakachuaji hazikupelekwa the hague? Je mfupo wa uchaguzi hauwezi kubadilishwa?
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
Loading...