Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Bahati mbaya tumekumbana na barua hizi ikabidi tuwashirikishe!

ANGALIZO: Si lazima kuamini nyaraka hii, lakini si ya kupuuza hata chembe.

chakachua_halmashauri_mwanza1.jpg

chakachua_halmashauri_mwanza2.jpg
 
Mkuu hii mbona inatisha!!!! yaani mambo haya mchana kweupeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
 
I'm out!:doh:

But why? why? why?

But as I always believed ::::

"In any revolution some must be ......"

Huo ndio wanaita ushindi wa kishindo?
 
Damn! sasa huyo Mkwere anapiga kampeni ya nini???? Aisee hii ni hatari na upuuzi uliozidi kipimo!
 
Anyway guyz sasa nadhani tujadili nini cha kufanya! Ila hawa wapumbavu they deserve that hell's fire!!!!!!!
 
Ikiwezekana zipigwe kopi nyiingi na kupelekwa Anatoglou hata kama ni kuzitawanya nje ya ukumbi!!!!!!
 
Mbona barua yenyewe hatujaiona wajameni, hapa mi siioni, nisaidieni pls
 
Niliisha sema tangia zamani Mkwere ni mtupu na hafai kabisa na yeye mwenyewe anajua...hebu oneni hilo! Thanks Inv historia itakukumbuka unathubutu
 
Too good to be true! Ni kama vile Hitler alivyokuwa anatoa orders zake kwa majenerali wake kuhusu kuwaangamiza Mayahudi -- kimaandishi, document ambazo zilikamatwa baada ya Vita. kama ulibahatika kusoma kitabu "The Rise and Fall of the Third Reich" by William Shirer utaelewa!

Wanaweka vitu hivi kimaandishi! Hawataki amani watu hawa. Bwana Makame -- ahirisha uchaguzi kuepusha maafa. Utakuwa unafanya jambo la maana.
 
Mkuu Invisible,

Kweli una uhakika hiyo barua imeandikwa na huyo anayesemekana ameandika?

Kama ni kweli, pelekeni kwenye vyombo vyote ili ukweli ujulikane. Hatuko hapa kutetea maovu kama ni kweli lazima kitendo hicho kilaaniwe na wahusika kuchukuliwa hatua. Ila my first instinct ni kwamba hiyo barua ni forgery; mtu anapanga mipango kama hiyo na ataweka kwenye maandishi

Kwa Tanzania lolote linawezekana na wacha tusubiri ukweli.
 
we are finished!
Jesus, MAY YOU COME SOON!

Paka, ulikuwa unakataa kwenye ile thread ya vituo hewa vya NEC na CCM kuwa hauamini juu ya kadirio la uchakachuaji wa NEC na CCM wa kura kati ya milioni 7 na 11, ambao unajumuisha vituo feki kati ya 1400 na 2200 nchi nzima nenda karekebishe kauli yako sasa pale jukwaa la siasa.
 
Dah! Nimechoka Kabisa! Halafu Mwisho wa Siku watasema Uchaguzi Ulikuwa Huru na wa Haki

Nashauri CHADEMA waitoke copy nyingi na Igawiwe kwa Nguvu ya Umma ili iweze Kuhukumu

Gadem Shit
 
Mkuu Invisible, with due respect; Hivi, uliona wapi wafanya magendo au wala rushwa wakapeana risiti? nadhani hiyo barua ndio uchakachuaji wenyewe na aliyeitoa anakusudia kujenga hofu na kuwababaisha watu.
Uzoefu wangu wa rafu za uchaguzi huwa hakuna maandishi labda pale mnapotaka kujenga mazingira ya kufungua kesi kupinga matokeo.
 
Mkuu nadhani hufahamu jinsi the ol men in the govt wanavyooperate!
 
Mkuu Invisible, with due respect; Hivi, uliona wapi wafanya magendo au wala rushwa wakapeana risiti? nadhani hiyo barua ndio uchakachuaji wenyewe na aliyeitoa anakusudia kujenga hofu na kuwababaisha watu.
Uzoefu wangu wa rafu za uchaguzi huwa hakuna maandishi labda pale mnapotaka kujenga mazingira ya kufungua kesi kupinga matokeo.

Mkuu hawa hawana Haya kaka ndio maana hata katika Ishu ya Richmond Vimemo vilitembea
 
Hizi zipelekwe "The Hague" au wapigwe mawe mpaka wafe. Wahudhuriaji wa mkutano huu wanatakiwa wawe ndani muda wowote kuanzia sasa hivi.
 
Kama Kikwete mwenyewe alikuwa anatoa maelekezo haya still anatamba atashinda kwa kishindo ni aibu it is more than dangerous huu ndio udikteta unaingia taratibu tanzania.
 
Naomba leo JK akanushe hii taarifa wakati anazungumza na vyombo vya habari, kwa wale wenye signature za Kabwe tunaomba watuwekee hapa ili tuweze kulinganisha kama ni kweli au ni uchakachuaji. otherwise uchaguzi inabidi uairishwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom