Acheni siasa kwenye suala la umeme-wazee Butiama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Acheni siasa kwenye suala la umeme-wazee Butiama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, Jul 8, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hawa wazee wameiasa serikali ya JK kuwa wAache siasa kwenye suala la kutatua mgao wa umeme nchini.Kuna mzee kanichosha kasema kila siku wanasema tuko mbioni kulitatua tatizo la umeme mbio gani izo zisizo kuwa na mwisho?
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  good, Watanzania wa sasa si mabwege tena
   
Loading...