Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

- Resignation is a formal act of giving up or quitting one's office position, after failing to own up to the office's responsibilities as expected by those who trusted him and put him/her in that...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu aka Mr II ametutumia taarifa hii kuhusu kukamatwa kwake jana na yanayoendelea Mbeya Mjini leo TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jana tarehe 8 Julai...
17 Reactions
205 Replies
22K Views
  • Closed
Nimekuwa nikifuatilia muda mrefu movement za hawa watu na mara zote nathubutu kuwafananisha na kundi la mtandao la EL, JK, RA na AC lililoanza kama ushirika wa kirafiki wa kisiasa(political...
2 Reactions
93 Replies
8K Views
Written by zenjiboy // 12/07/2011 // Habari // 3 Comments Na Juma Mohammed, MAELEZO Zanzibar Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mh. Mansoor Yussuf Himid amesema mfumo wa muundo wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kinachotokea kwa hivi sasa bungeni ni dalili za wazi za CCM kuaga uongozi wa Taifa hili. Kwanza kabisa wabunge wa CCM wameshindwa kabisa kufanya kazi yao ya kuisimamia serikali na badala yake...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Mheshimiwa Spika, Anna Makinda Shikamoo mama. Mimi Gurudumu (bila gari), raia wa Tanzania, nachukua nafasi hii kukuagiza kwamba ufunge bunge haraka sana pindi tu upatapo ujumbe huu kupitia...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Dodoma imekuwa ni ngome ya 'magamba' kwa muda mrefu sasa hivyo kuendeleza madudu mengi ktk mji wetu eg,malalamiko dhidi ya cda, ujenzi wa kusua sua wa barabara,miradi tata ya umeme ktk chang'ombe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi bwana Wilson Mukama alipokua katika kipindi cha "Je tutafika?" kinachorushwa na Television ya channel ten amesikika akitilia mkazo na kufafanua Kwa kusema kuwj...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Japo Mimi si mkubwa sana kiumri lakini nakumbuka hadi miaka ya 80 hali ya kuomba omba haikuwa kama iliyopo leo hii. Uongozi wa awamu ya kwanza ulihimiza kujitegemea na kupinga ubinafsi. Baadae...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Boss wao ndo ivo kaondoka kwenye uongozi wa CCM huku akirusha madongo kibao. Mtanzania walikuwa watu wa kuibeba sana CCM. Je wataungana na Boss wao kuanza kuiponda? Je hili ni pigo kwa CCM? Je CCM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa amemchangia Mufti Mkuu wa Tanzania sh 13 mil kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo na shule ya watoto yatima kilichopo Kigamboni jijini DSM. Mbunge huyo...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
Wakati akichangia bajeti ya wizara ya ulinzi Mh Zitto ameweka nia ya kuwasilisha hoja binafsi kutaka iundwe tume kuchunguzwa kwa deni la m
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Hali CCM mtaani ni mbaya sana, watu wanailalamikiae serikali ya CCM, wabunge wa CCM wanachokifanya bunge kinaonekana ni vituko vya watoto wadogo, Watu wanasubiri ifike mwaka wa 2011 ili waoneshe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
‘’CCM ‘’ A Purposefully Scavenger Huwezi kuamini katikati ya Harakati za Wabunge wa Upinzani kuendeleza jitihada za kuikaba koo serikali. Ghafla CCM inachomoa turufu yake tata kufumba macho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefuatilia sana mambo yanavyoendelea Tanzania na chama tawala cha CCM na nimegundua bado CCM haijagunduatatizo la Tanzania ni nini hasa. Watanzania wanataka maaendeleo to CCM kama ikiamua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hebu niwaulizeni enyi wana Siasa, wasimamizi wa fedha (finance management specialists), wadau wa kodi na walaji - Hivi inatia akili kweli kusikia Serikali ikitangaza mabadiliko, kama ya punguzo...
0 Reactions
2 Replies
836 Views
HI ALL! leo mimi sina mengi ila lawama za kutosha kwa chama changu cha CHADEMA... chama chetu kina vichwa vya kutosha na ni kweli kazi inafanyika... shida ni kwamba idara yake ya uenezi HATA...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wenyeji wa mikoa ya kati hata ile ambayo uwindaji ni moja ya shughuli zao. Wanamsemo usemao,"Ukirusha Mshale Usiku Mawindoni,ukisikia chwiiii!" Jua umempata mnyama uliyemlenga. Hali hii ni dhahiri...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Inakuaje wenzetu wanapeta huku sisi tuna bakuli kubwa kuliko wao? Je letu lina matobo? http://www.greeneconomyinitiative.com/news/181/ARTICLE/1487/2009-05-16.html Kenya Gets US$405 Million...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Chama Chahitaji Mapinduzi. Sote tunajua kinachojiita “Chama cha Mapinduzi” hakijawahi kufanya mapinduzi yoyote. Neno mapinduzi kwa kadiri ninavyoelewa linaashiria “mabadiliko ya haraka ya...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…