Chadema mbona hamna documentation?

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,065
1,535
HI ALL!

leo mimi sina mengi ila lawama za kutosha kwa chama changu cha CHADEMA...

chama chetu kina vichwa vya kutosha na ni kweli kazi inafanyika...

shida ni kwamba idara yake ya uenezi HATA HATUIELEWI ELEWI sijui inafanya kazi gani!

sijui inafanya kazi gani kwani hatuoni machapisho kwa njia ya video eg video cd ambazo zimechukuliwa katika matukio mbali mbali kama vile maandamano na hotuba za viongozi.. cd hizi zingeweza kuwa distyributed kwa njia ya mauzo na ofisi za chama mikoani na mawilayani.

sisi wananchi tungezinunua na kuweka kwenye groceries zetu hivyo watu wengi zaidi wangepata kujua chadema ni nini? na kinafanya nini na ni nini matarajio yake kwa watanzania......mfano, mkazi wa dodoma akiona hotuba na maandamano ya tarime, songea n.k.

KUkataa kutumia teknohama hii katika uenezi ni dalili mbaya na itasababisha chama kitumie gharama nyingi sana kujijenga....hii nia aibu sana ukizingatia chama hiki kina wasomi lukuki!

kukataa kutumia TEKNOHAMA kujenga chama ni GAMBA! tulivue...

naomba kuwakilisha.....
 
Ndiyo ninakubaliana nawe. Tudocument hata hoja zenye maslahi ya taifa zinazokataliwa na magamba kwa UWINGI. please.
2015 Magamba yatajifanya yananzia katikati wakati tunazo shahidi zote zilizoonyesha kuwa ni wachumia matumbo.
 
Wewe CDM inawenyewe usirudie tena kujiita eti mwana CDM
 
Back
Top Bottom