Dodoma imekuwa ni ngome ya 'magamba' kwa muda mrefu sasa hivyo kuendeleza madudu mengi ktk mji wetu eg,malalamiko dhidi ya cda, ujenzi wa kusua sua wa barabara,miradi tata ya umeme ktk chang'ombe ext. na maeneo mengi ya mji huu...,rai yangu wabunge vijana ndani ya cdm wajipe zoezi rasmi la kuikomboa dodoma kwa kufanya mikutano mingi ya uhamasishaji..,ili kesho maandamano ya umma yawe yanapitia makao makuu ya ccm na kupeleka salaam za umma bungeni.. na hii itakuwa WATAKAPOWAZOMEA MJENGONI NASI TUNAWAZOMEA URAIANI..kwani siku zote wako kwa maslahi yao na si ya tafa..