MUKAMA: Kujivua gamba ni tafsiri ya Sera, haina maana ya kufukuza watu fulani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MUKAMA: Kujivua gamba ni tafsiri ya Sera, haina maana ya kufukuza watu fulani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gagurito, Jul 13, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi bwana Wilson Mukama alipokua katika kipindi cha "Je tutafika?" kinachorushwa na Television ya channel ten amesikika akitilia mkazo na kufafanua Kwa kusema kuwj Kujivua gamba ni sera yenye dhamira ya kukisafisha chama chote hususan kwa kurudia mambo ya msingi km ilivyokua ktk miongozo ya TANU. Alisisitiza kua sera hii haimlengi/haimgusi mtu mmoja mmoja km watu walivyoitafsiri sasa. Pia ni sera inayotaka kukuza misingi ya chama kwa kuongeza umuhim wananchi kuthaminiwa! Ni harakati za chama kujisafisha na kujiweka mazingira ya karibu wa wanachama wake . ANGALIZO: Je ni nin kitawatokea wale mafisadi papa wa chama? Je wananchi/wanachama wanashirikishwa juu ya hilo? Nawasilisha!
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,688
  Likes Received: 82,540
  Trophy Points: 280
  Unategemea nini kutoka katika nchi inayoongozwa na mafisadi. Wanatoa kauli zao hadharani halafu wanazikimbia na kuzibadilisha baada ya kuona hawawezi kutimiza kile walichokisema mwanzoni
   
 3. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Huyo Mukama nae is just full of crap. I don't see any substance on anything that he has said so far
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kwa kweli huyu mzee alishastaafu wangemuacha tu aendelee kula pensheni yake, zama hizi na presha ya vijana na peoplezzzzz power mzee anaweza akadondoka jukwaani. maana yule dogo aliyekuwa nae kwenye kipindi si mchezo dogo kasimama mbaya! mwishoni akampa kitabu cha Azimio la Arusha ampelekee JK akasoma coz CCM sasa hivi hawaliahamu tena azimio la Arusha.
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  ikawa jioni, ikawa asubuhi siku ya 91! as if tulitegemea kweli ccm itafanya kitu! walivyokuwa wana-rap sijui tunawajua wajiondoe wenyewe kumbe walikuwa wanaongelea vumbi kwenye chama! the ussual ccm crap!
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nothing wil tek action maana wanaogopa their shaddow,
   
 7. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ukiona hivyo ujue wamekwama. Tuliwaambia mapema kuwa huleti mageuzi ya taasisi kwa ku-deal na sura za watu. Unapaswa kubadilisha mwelekeo wa sera, jambo ambalo CCM hawawezi kulifanya. They are stuck in a very deep muddy water, which is truly good for the country!
   
 8. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  'Which is truly good for the country' i like that.
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapo kunakazi ya ziada bado, coz wanapotaka kuirudia miongozo ya TANU automaticaly itawalazimu wawatimue wafanyabiashara na matajiri waliopo ndani ya chama (CCM) coz TANU kilikua ni chama cha wanachama wakulima na wafanyakazi masikini, matajiri na wafanyabiashara hawakuwa na chao!
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mukama as Mukama is right, he has his own vision that he want CCM to go through, bt complexity that exists within his party won't grant him success! He has a Long way!
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kama kujivua gamba haihusu mtu m1 m1 sasa hilo gamba ni nini? Mbona Msekwa aliwaita Rachel? Mbona nape alisema Rachel wamepewa barua? Zilikuwa barua za nn? Na msekwa aliwaitia kuwaambia nn?
  Hapa maswali ni mengi kuliko majibu. Yule dogo waliyekuwanae alimpelekesha mkama hadi nikamwonea huruma!
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hebu tuvute subira, labda kuna muujiza utatokea!
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ofcoz hata mimi ninafikira hizo, anasema sera ya kujivua gamba itawapelekea mpaka kubadili mfumo wa kumpata Mgombea uraisi kupitia chama chao kwani ndio chanzo cha makundi sisiem, anasema watasafisha na kuweka mambo sawa! Hapa pananitia shaka, Je ni mfumo gani tena huo?!
   
 14. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Pamoja mkuu!
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu ur truly right, hebu msome dkt. Mkumbo hapo juu kafafanua mambo vizuri, hii inatupa picha kua magamba hayavuliki!
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu si wanasema wazee wanabusara?
   
 17. D

  DENYO JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwisho wa ccm, watanzania tutakuwa majuha na mabwege kama tutashindwa kuelewa hili genge la ccm limetuweka shimoni, giza totoro, huduma za jamii mbovu saaaaaaaaana, hiki chama kinatakiwa kufutika kama kanu. Hawawezi kufukuzana manake hakuna msafi jamani turudi kwenye list of shame aliyotoa dr slaaa. Shame on ccm, and all magamba
   
 18. H

  HARD TALK Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wameshndwa hv ss vjana wenye fkra pevu na 2liofundshwa na waalimu wenye hasira na uozo wa chama chao ha2taki kauli nyepesi kama wanamtongoza mwanamke hapa kwa barua na takataka walizokuwa wanasema vko wapi?? Uchafu mtupu 2nataka action hovyo sana
   
 19. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  Wanahabari wetu nao wanachangia kuongezeka kwa unafiki wa hawa wanasiasa,audio na video za matamko yao zipo sasa mwanahabari makini alipaswa wakati akimhoji au hata wakati akitengeneza habari aweke na audio au video ya matamko yao ili kuwaumbua vizuri maana ukiunganisha hayo instantly inaleta taharuki zaidi lakini sio kubeba alichosema pale then kinakuwa story ya siku kwishney!
   
 20. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  This is funny, mnawalazimisha wachukue hatua na hawataki, don't you have an alternative????!!!
   
Loading...