Watanzania wanataka maendeleo tu na sio maneno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wanataka maendeleo tu na sio maneno

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Jul 13, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Nimefuatilia sana mambo yanavyoendelea Tanzania na chama tawala cha CCM na nimegundua bado CCM haijagunduatatizo la Tanzania ni nini hasa. Watanzania wanataka maaendeleo to CCM kama ikiamua kuwatoa baadhi ya viongozi kwa tuhuma za ufisadi basi hilo ni zuri kwa kupunguza maneno na malumbano lakini silo suluhisho la umeme, elimu duni, afya mbaya, marabara nyembamba, ujenzi mbovu, uvivu, sera mbovu za uwekezaji, kupendeleana serikalini na sera nzima ya uwekezaji.

  Raisi wa Tanzania anatakiwa kulenga maendeleo tu na kama kuna maendeleo hakuna mtu atakaye jali sera za chama na kujivua magamba na mapacha !!!!. Tuletee umeme, na kuongeza uwekezaji ili kuboresha maisha ya Watanzania.
   
 2. m

  magungila Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  maendeleo yakija hata kama kuna ubadhirifu,rushwa na UFisadi WADANGANYIKA watakuwa wapole????
   
Loading...