Kesho Mtanzania watatokaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho Mtanzania watatokaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Jul 13, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,187
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Boss wao ndo ivo kaondoka kwenye uongozi wa CCM huku akirusha madongo kibao. Mtanzania walikuwa watu wa kuibeba sana CCM. Je wataungana na Boss wao kuanza kuiponda? Je hili ni pigo kwa CCM? Je CCM walitathmini hili kabla wa kumwambia RA ajivue gamba? Na je, ukiacha Uhuru na Habari Leo, CCM itabebwa tena na gazeti gani, hasa ukizingatia Boss wa Jamba Leo nae anaonekana kuwa karibu na Rostam? Haya maswali majibu yake ni very interesting.
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,950
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  ''rostam kiboko''
   
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,187
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  "Rostam athibitisha kukomaa kisiasa"
   
 4. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12,852
  Likes Received: 2,827
  Trophy Points: 280
  "RA aachana na siasa uchwara"
   
 5. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  rostam hahitaji vyombo vya habari kumfagilia, hata vikimponda havimpunguzii kitu
   
 6. A

  Ayubu9 Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi naona hii ni "racket" nyingine ya CCM ya kujiweka sawa. However, they must have missed the bus. Wanajivua gamba wakati bado wana sumu?
   
 7. f

  fazili JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,122
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Nitashangaa sana hata kama JK atajiuzulu halafu watz wakafikiri ccm imejisafisha. Tatizo la ccm ni mfumo waliokwisha jenga kwa muda wa miaka mingi, kwa sasa tunahitaji mapinduzi makubwa ya kimfumo na kwa hili chama mbadala ni muhimu
   
Loading...