Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jasho la Damu, Jul 12, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia muda mrefu movement za hawa watu na mara zote nathubutu kuwafananisha na kundi la mtandao la EL, JK, RA na AC lililoanza kama ushirika wa kirafiki wa kisiasa(political friends) na baadaye kuzaliwa political friendship network huku target yao ikiwa ni kushika dola kwa kupokezana.

  Hawa jamaa wanakuja tofauti kidogo na slogan yao kubwa ni Kijana kuongoza SJMT. Ukweli ni weledi wa kusoma nyakati hasa ukitazama kwa sasa vijana wengi wa Tz wameingia kwenye siasa.

  Watz tuwe makini nao.
   
 2. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una uhakika na unachokisema? Kwani kuna ubaya gani wakifanya hivyo?
   
 3. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nyuki

  Ni maoni yako, tumeyasikia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  heee,acheni kujisahau
   
 5. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Nitarudi baadae, ngoja niwahudumie Watanzania kwanza
   
 6. D

  Derimto JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona hawa wako hadharani sana tu kwa wenye macho na akili za kuchambua mambo ki undani ila kwa sasa watafute mbinu nyingine maana ili wafanikiwe lazima kuwe na watu nyuma yao na kama hakuna watu yaani wanachama hawana pa kwenda watishia kwenye vikao na hata magamba hawawataki bali wanatumiwa tu
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Inaonekana jamaa hataki vijana watawale!!
   
 8. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ahsante Miss Parliament real ur great woman.
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Upuuzi mwingine aisee
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mbona mnachafuana hivi?
   
 11. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Swala siuo kijana tu tunaangalia na mitazamo yao pia na mitandao.
   
 12. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wamejichafua wenyewe hao hakuna wa kuwachafua.
   
 13. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wewe ndio mpuuzi unayeshindwa kuchanganua mambo.
   
 14. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  bado naona kizungumkuti, huu mtandao ni kwa faida ya nani! au unalengo gani
   
 15. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Rudia kusoma thread then soma comment za Miss Parliament utaelewa.
   
 16. Miss Parliament

  Miss Parliament Senior Member

  #16
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa tulizo nazo hili kundi linafanya kila jitihada kuhakikisha mwenyekiti wa vijana yupo upande wao,kwanza wamehakikisha wanampa madesa makamu mwenyekiti Juliana Shonza ili Heche mkurya aone aibu kufunikwa akimbilie mtandao wao kwa usalama
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mpuuzi humjua mpuuzi mwenzake... na huu ni upuuzi, mkishachafuana mkaoge!!
   
 18. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hapa kuna bomu unalolijua lkn hutaki kulilipua. Hebu tupe hizo data.
   
 19. L

  LAT JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  jealous za kijinga hizi
   
 20. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Kazi ipo. Baadhi ya mambo tunayajua, ingawa mengine yanatisha sana. Tuendako giza nene!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...