Umeme wa Upepo: Kenya waendelea kutuzidi maarifa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wa Upepo: Kenya waendelea kutuzidi maarifa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, May 28, 2009.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Inakuaje wenzetu wanapeta huku sisi tuna bakuli kubwa kuliko wao? Je letu lina matobo?

   
 2. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Haya hii ingine ni wale tuliowalea wa SWAPO Namibia. Tanesco na Wizara ya Nishati na Madini zimelala zikisubiri Jenereta za Dowans?

   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kapu halina matobo, linagharamia chaguzi za mchangani na matumizi mengine yasiyoleta tija wala return, na ndio maana halitokaa lijae.
   
 4. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa kenya sijui lakini kwa Namibia hayo madini mengine yanawatoa kwani hela zinazopatikana huko zinakuwa invested kwenye maswala kama haya. Sadly, sisi hatutaweza kutumia fedha kama hizo kwani mikataba yetu inatubana kwa muda wa miaka 25! By that time all reserves should be stripped dry!!

  Damn!!
   
 5. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Priority zetu ziko kwenye mambo ya ajabu kama kujenga Uwanja wa ndege au bandari mpya ambazo hatuzihitaji!

  Laiti wangejenga Reli mpya na kusambaza umeme na maji kila kona!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Kwabahati mbaya energy sector bado kwa asilimia nyingi inaendeshwa na serikali kupitia Tanesco. Makampuni binafsi yanayohitaji kuzalisha umeme kwa njia mbadala nafikiri ni lazima yawe na baraka za Tanesco ili waweze kuuza kwa faida umeme huo. Niionanvyo Tanesco, wajanja wanatengeneza mazingira ya kukosekana umeme ili wakati wa emergency watokeapo humo kwa Richmond, Dowans na pengine mpya zitakazokuja kutokea mbele ya safari.
  Project za aina hii zilizopo Kenya na Namibia zinawezekana kabisa kwetu.Wapo wataalamu wengi wanaoweza kufanya study ya maeneo mazuri kuzalisha umeme kwa upepo.Wapo wataalamu wengi wanaoweza kuzisimamia project hizo to fruitation.
  Probably we do not have political will or we are obsessed with ufisadi stories to the point that we dont think about development issues any more. So SAD!!
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sasa mnataka Mwakyembe na Rostam Aziz wakale POLISI?

  Hela za kujengea mahekalu ya LOWASSA zitatokea wapi kama siyo huku kwenye mambo ya energy?

  Acheni WIVU wa KIJINGA (Mkapa)!!!!!!!!!!!!
   
 8. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  umesema wamepewa hiyo hela ya kuweka huo umeme wa kwenda green, hata sisi tukipewa si tutauweka pia hiyo si sifa ya kuwapa ni bahati wamepata. labda wizi ukipungua kwenye serikali yetu there's much to come in terms of aid too.
   
 9. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  tatizo nikwamba viongozi wetu ni wavivu wa kufikiria na kuchambua mambo.hakuna mabadiriko yoyote ni mambo yale yale yanendelea na makosa yale yale yanarudiwa.bunge halina nguvu la kuleta mabadiriko hata kidogo.wabunge wanasinzia tu mule hakuna hata mmoja anaweza kutoa mchango mpya au ushauri mpya wa kutatua matatizo madogo madogo kama ya maji ,umeme na barabara kwa wananchi.
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Rev. Kishoka,

  Ukiweza badilisha kichwa cha habari maana naongeza nyingine hapa ya jinsi Wakenya wanavyotupiga bao. Yaani jamaa ni ma middleman wa Watanzania kwa kila kitu. Kweli kwa jinsi hii, Wahindi hatuwawezi maana kama hata Wakenya, mipingo kama sisi na hata kutuzidi (Wakenya wameibeba Africa, weee!!), basi ngozi nyeupe kama Mhindi ndiyo hatuna cha kusema, achilia mbali Mzungu.

  BAdala ya kupitisha bakuli, heriwangelikuwa wanatafuta market ya mazao/product zetu huko nchi za dunia ya kwanza.
  HEBU SOMENI HAPA----------  Kenyan onion buyers bar Tanzanian farmers from reaching EU market

  By Adam Ihucha, 28th May 2009


  [​IMG]
  Onions


  Onion buyers from Kenya have conceived a trading syndicate with an eye to exploit farmers in Lake Eyasi sprawling delta in Northern Tanzania.

  Onions is the leading cash crop in the 1,000 sq km productive basin located nearly 60 km south west of Karatu District in Arusha Region.

  The fertile delta accounts for a third of East Africa's Bombay Red and Red Crole onions whose small holder farmers earn nearly 2.7bn/- annually. The income directly supports 28,000 people in the area.

  The new Kenyan trade syndicate entails buyers to work in coalition to control, but precisely keep low, the initial buying prices of local onions.

  "Kenyan onion traders, of late have formed a tight network complete with spying agents," said Ramadhan Sunuku, the Secretary General for Mang'ola Onions Saccos.

  Sunuku said as soon as the local farmers harvest their crop, the Kenyan 'buyers' pass the 'news' to one another, resulting in an onion purchasing cartel!

  "These Kenyan buyers are the ones who control the onion market as they determine the price at their will," Sunuku said, adding that they normally offered them the lowest prices possible irrespective of the quality of the onions.

  "When the farmers decline to accept the first offer, the dealers syndicate comes up with another offer, but not necessarily an attractive one," he said.

  Sources close to onion traders say that the onion pricing could fetch up to 160,000/- per bag in the local markets, but the Kenyan dealers could only offer between 65,000/- and 70,000/- per bag.

  "We are compelled to accept the price because there is no other alternative, taking into account that onions are perishable produce, the more you delay to sell, the more the quality depreciates," Sunuku lamented.

  "Most of us have no idea of potential markets in Arusha and Nairobi because we are ignorant of the market there," said Maganga Iranghe also a farmer.

  He said only the Kenyan 'buyers' held the key to the outside markets.

  "This year they offered us only 65,000/- per bag, compared to last year where they kept the prices much lower between 5,000/- and 20,000/-" said Phillemena Mushi.

  However, Baray ward leader in Eyasi, Thomas Darabe differed with the farmers, saying Kenyan traders were the saviors because they stabilised onion prices in Lake Eyasi delta.

  "I beg to differ with the farmers. Take my words, without Kenyan traders here, all onion yields would have been rotting in our hands," Darabe said.

  Contacted for comment, Lake Eyasi Division Executive Officer Laanyuni ole Supuk confirmed that unfair trade existed.

  He said the practices denied thousands of small holder farmers rightful income.

  Speaking on condition of anonymity, a Kenyan buyer refuted the claims that such a cartel existed, saying the allegations against them were fabricated by local middle men with an intention to provoke the government to kick them out of business.

  Sources said that Lake Eyasi delta's organic onions were in high demand and fetched lucrative prices in European Union markets, but only Kenyan traders had successfully managed to penetrate the market.

  Available statistics show that nearly 75 per cent of the entire organic onions production is purchased by Kenyans.

  Upon arriving in Nairobi, the value is usually added to the produce like packing and branding, ready for export to the European market as Kenyan product.

  Two years ago the deputy minister for Water Development and Irrigation, Christopher Chiza, visited Lake Eyasi delta and pledged that the government would make all means necessary to support, not only onion production, but also search for markets of the crop outside the country.(!!!!!!mmhhhh, Kweliii???)

  The Deputy Minister said although Kenya was the preferred market, its traders could be exploiting the onion farmers because they were paying them what he described as "peanuts".

  From :- :: IPPMEDIA
   
 11. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Sikonge,

  Nimeisoma hii ya vitunguu mapema leo, nikatamani kulia! Hivi TFA, Vyama vya Ushirika, Mmlaka za Bodi za mazao na Bodi ya Biashara ya Nje na hata TCCIA wako wapi?

  Ni mpaka lini Mtanzania ataendelea kuwa mjinga na kuzidiwa werevu na kila anayeingia nchini mwetu?

  Miaka ile baada ya Uhuru mpaka mwishoni mwa miaka ya 80, Wasomali ndio alikuwa wakisafirisha bidhaa kila kona kushindana na kina MORETCO na KAMATA. Wakenya wakaanza jiingiza baada ya msuguano wa Afrika Mashariki kupoa, wakaanza kama Customer Service kwa kuwa eti wanang'ata ung'eng'e hivyo matunda ya Azimio la Zanzibar kurudisha makampuni na biashara kwa Wawekezaji kulihitaji mtu anayeongea mayai laini.

  Mandela akasema Viva, makaburu wakaanza ingia na pesa zao na kununua kila kitu huku watu kutoka Malaysia, Thailand, India, Sri Lanka, Pakistan, Indonesia, Singapore wakijikita taratibu kama Wawekezaji wa Viwanda na Biashara.

  Hapo hujasahau Wakanada, Wamarekani, Waingereza, WaAustralia na Wataliani katika madini.

  Sasa alipoingia Mchina tena kuwa Machinga, basi tujiulize hivi sisi ni Taifa la namna gani?
   
 12. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka a while back, nilikutana na a policy planning head wa TANESCO kwenye grocery moja pale complex yao opposite US embassy na aliniambia kuwa study zimeshafanywa kuidentify areas zinazoweza kuzalisha umemo wa upepo lakini combination ya ukata/lack of funds na overemphasis on hydro-electric power ndio zinazo hinder development ya hii wind power generation. Alisema kuna eneo moja katikati ya Same na Mombo pana upepo wa ajabu kila siku ambao unaweza ukasukuma gari dogo likatoka nje ya barabara. Vilevile alisema kuna maeneo ya Kipengere huko juu katika safu ya milima ya Livingstone mpakani mwa Iringa na Mbeya napo wamegundua kuna upepo throughout the year ambao utafaa kwa wind power generation.

  I concluded that studies have been made but as with many studies of this magnitude it is probably gathering dust and/or cobwebs in some office at TANESCO HQ!
   
 13. F

  FUSO JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,818
  Likes Received: 2,300
  Trophy Points: 280
  duh ama kweli - wakenya wanatuzidi kila kitu hadi aibu - na hili shirikisho limeiva basi tutaishia kufanya kazi kwenye mashamba yao ya maua watakayokuja kuanzisha.

  sasa hivi naambiwa wanajenga mega watts 1000 juhudi zao wenyewe. Barabara ya juu tayari inajegwa - kweli CCM wanatubemenda kimya kimya.
   
 14. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani tupeni kapuni ccm..hawa watu ndo chanzo cha hii nchi kutoendelea.
   
Loading...