Hali ya CCM Mtaani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya CCM Mtaani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir R, Jul 13, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hali CCM mtaani ni mbaya sana, watu wanailalamikiae serikali ya CCM, wabunge wa CCM wanachokifanya bunge kinaonekana ni vituko vya watoto wadogo, Watu wanasubiri ifike mwaka wa 2011 ili waoneshe hasira yao. Mgao wa umeme ni sababu kubwa ya hasira ya wananchi.
   
 2. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Unazungumzia mwaka huu au 2015?
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kwikwi kwi..... hii kali!!
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Nchi haina umeme wananchi wanaona kinachoendelea bungeni kupitia nini? ni asilimia ndogo sana inayoona kinachoendelea bungeni. Kwanza nina wasiwasi tatizo la umeme ni makusudi ya CCM ili wananchi tusione kinachoendea mjengoni
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mi mkuu bado sijakuelewa kabisa toa maneno yakinifu..
   
 6. eyetyna

  eyetyna Senior Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yaani kila raia amebadilika sura,kila mtu na sura yake tena sura zisizoeleweka kama ni za heri ama shari.
   
Loading...