Mr. II alilipua Jeshi la Polisi Bungeni

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,781
5,205
Wakati wabunge watatu wa kambi ya upinzani, Mchungaji MSigwa, Tundu Lissu na Godbless Lema, wakitolewa nje ya bunge kwa kile kilichoelezwa na Naibu Spika, 'kuongea bila ruhusa', Mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi, a.k.a Mr II, amelilipua jeshi la Polisi nchini kwa kashfa. Akichangia mjadala kuhusu bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Mr. II alieleza kashfa za jeshi hilo alizoziona wakati akiwa mahabusu ya kituo kikuu cha Polisi, Mbeya. Mr. II alizitaja kashafa hizo kuwa:

Askari polisi 2 kuwekwa mahabusu moja na watuhumiwa wengine jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao
Wanafunzi wa chini ya umri wa miaka 18, wakiwa na sare zao za shule kuwekwa mahabusu na watu wazima
Wagonjwa 2 wa akili kuwekwa mahabusu moja na watuhumiwa wanganui na
Mwisho kubwa kuliko, mtuhumiwa wa kizungu kutokuwekwa mahabusu kama wengine, badala yake kutengewa ofisi na kufanywa ndiyo mahabusu yake, na zaidi ya hilo kupewa na 'house girl' wa kumuhudumia ambaye ni askari wa kike wa jeshilo. Kosa lake ni kukutwa na shehena kubwa ya pembe za ndovu!!

SOURCE: Global Publishers's News

Ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeee
mwema shemeji wa mwenyekiti wa chama unategemea nini katika jeshi kama hilo?

He! Na haya yatapita kama hakuna kilichotokea

SOURCE: Global Publishers's News!
Vipi hakuna udaku mwingine ubandike?

mods msiihamishe hii threads,"wakubwa" waisome ina ujumbe tofauti na pengine huyo mzungu alitoa mlunga na sasa anapiga mluzi hukooo kwao!

Wewe Issenye kwani ulisahau kuwa akina Mramba na Yona mahabusu yao ilifanyiwa ukarabati siku tatu kabla ya kukamatwa, inakuwa na TV, internet, sebule, kitanda etc. sasa unamshangaa mzungu kutengewa mahabusu yake? Heri MR. 2 ameona mwenyewe, sasa sisi wengine tunasikiaga tuu huko hatujawahi kwenda ndo tunapigwa changa la mmacho. Natamani wananchi waeleweshwe jinsi nchi hii inavyoendeshwa, ili 2015 wafanye mambo ya uhakika magamba wote piga chini

poa kamanda na wakome kukamatakamata wabunge wa upinzani kwani sasa wanadhalilishwa.

Lukuvi yule ni mavi sababu, wakati kamala wa ccm mwenza alisema mkuu wa wilaya mwizi cos of
ameiba mahidni ya msaada, akakaa kimya sana. Ila opposition anakuwa wa kwanza, shenzi

hawachelewi kusema alete ushahidi...viva Sugu viva Chadema viva NCCR nyie ndo wa ukweli peke yenu mliobaki

Yaani majangili wa pembe za ndovu wanatengewa chumba halaf wanapewa na mhudum, kweli shemeji ya kikwete(Mwema) hapa umezidisha; BIGUP SUGU mpaka kieleweke!

Vipi hakuna udaku mwingine ubandike?

Hivi utaoga lini ?

kuoga.jpg

mlamba m.a.t.ak.o wa CCM! utalamba sana kaka mpaka tufike 2015!! Waungwana walisema.....inahitaji ujasiri wa mwendawazimu kuitetea CCM!

kwani waliopigwa risasi mwembechai zama zile ilikuwa ni udaku?

PAW,
upo lakini

Du hii kali yani askari wetu kageuzwa housegirl wa jangili la kizungu!!
Kweli wabongo tunajizalilisha.

Back
Top Bottom