Chadema jimbo la ukonga waahirisha uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema jimbo la ukonga waahirisha uchaguzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANA WA DAUDI, Jul 29, 2011.

 1. M

  MWANA WA DAUDI Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za uhakika zilitufikia leo ni kwamba uchaguzi wa jimbo la Ukonga uliokuwa na mvutano mkubwa kati ya baadhi ya wagombea na uliopangwa kufanyika jumapili ya 31/07/2011 UMEAHIRISHWA KWA WIKI MBILI.

  Imesemekana kuwa sababu ya kuahirisha ni pamoja na kuboresha maandalizi ya uchaguzi huo. Uchaguzi huo umepangwa kufanywa ktk ngazi ya Chama na mabaraza yote ya Wazee, Bavicha na Bawacha.

  Taarifa zinasema kuwa uchaguzi huo utakuwa unasimamiwa na uongozi wa mkoa, Taifa itakuwepo kama mtazamaji kutokana na kuwepo kwa ushindani mkubwa katika baadhi ya nafasi ambazo zina wagombea wengi.

  Nikiwa kama mgombea wa nafasi mmojawapo katika baraza la vijana ( Bavicha) uamuzi huo haukunifurahisha lakini itanibidi nivumilie.

  Nawasilisha.
   
Loading...