Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Miezi Miwili baada ya Uchaguzi Mkuu kuna Mambo Kadhaa yametokea ambayo kwa kweli yanagusa Maisha ya Watanzania Directly or Indirectly
1: Mgao Mkali kuwahi kutokea Nchi Nzima wa Umeme
2: Dowans Kushinda kesi dhidi ya TANESCO kuamuriwa TANESCO iilipe DOWANS zaidi ya Shiling bilioni 18.5 kama Fidia
3: Kupanda kwa Gharama za Umeme kwa 18.5%
Hayo yote yanamgusa Mwananchi moja kwa moja kwa Sabani ni Kodi yake itakayotumika
Tukumbuke kwamba Watanzania walipewa nafasi ya Kufanya Mabadiliko hapo Mwezi November lakini wao wakafanya Maamuzi yanayowagharimu leo
Sasa kutokana na Kiburi cha wananchi ni sahihi Kufananisha Shida/Tabu na Safari waliyopelekwa wana wa Israel Utumwani Misri?