Tatizo la umeme ni wananchi wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la umeme ni wananchi wote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Natalia, Jul 28, 2011.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Haya mko gizani ,hamlalamiki,hamprotest,mmekaa tuu.why manapenda gizani why mnatakiwa mprotest .nchi haina umeme kwa nini manaachia na kukata tamaa na nchi yenu . Inasikitisha
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Chukua jukumu la kuwa kiongozi wa hiyo protest uone kama watu hawatakuunga mkono. Tatizo ni thubutu ya kuanza. Hakuna mTz mwenye uthubutu huo, wewe na mimi tukiwamo.
   
Loading...