Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati wa uchaguzi wa mwaka 2000, vurugu zilizokuwepo Z'bar na baadhi ya maeneo T'bara mpaka zikapelekea maandamano kule Z'bar yaliyopoteza maisha ya watu zilionesha chama cha CUF kitaleta...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni nini sera ya kimataifa (foreign policy) ya nchi yetu, miaka 18 baada ya kuingia kwenye siasa ya vyama vingi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii mheshimiwa James Mbatia yupo live mlimani tv akiongelea maswala mbalimbali yahusuyo nchi yetu.Ameongelea maswala ya bunge na namna ambavyo linaweza kuongelea na kuendesha mijadala...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wandungu, Yule mdudu wa Copy and Paste ndani ya CCM ameshamniri baada ya Kamati kuu kukubaliana na Hoja binafsi iliyopelekwa Bungeni na mbunge kijana wa CHADEMA John Mnyika huhusu kushusha bei ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumbe inawezekana!
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Related Content The head of the Cairo Criminal Court has vowed a speedy trial for ousted president … The head of the Cairo Criminal Court has vowed a speedy trial for ousted president Hosni...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Hiki chombo kilichokuwa kinajulikana kama Baraza la Kuhifadi Qur'an Tanzania, kwanini lilifungwa? Sasa ni muda mrefu umepita tangu kuvunjwa kwake na bado jibu sijapata, naomba msaada wenu
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanajamvi muda mfupi uliopita spika Makinda ametaja mchangiaji ambaye hajawahi changia Chenge atchangia hotuba ya wizara ya ujenzi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika siku za karibuni utambulisho wa JK kuitwa Dr umepamba moto hasa kupitia TBC1. Kila nikisikiliza taarifa utasikia Dr. Kikwete kafanya hiki, mara kile..Binafsi naona huu ni uchakachuaji wa...
0 Reactions
82 Replies
9K Views
Kazi ipo sasa,jamaa anajiandaa kutake over nafasi ya shibuda nini?
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kumekuwa na lawama siku hizi kuhusu nidhamu bungeni kuwa bunge letu limekosa nidhamu na uvumilivu na wamekuwa wakiacha shughuli nyeti za bunge na kubakiza ushabiki wa vyama,hali hiyo iliendelea...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
sita ameereza nijinsi gani wenye pesa ndani ya ccm walivo kuwa wamepania kumtowa ikashindikana kwamaelezo yake anasema vyama vingine vilimshawishi kugombea uraisi bado alibaki imala anashanga...
0 Reactions
151 Replies
14K Views
Nimewaza sana na kufikiria sana na sipati majibu ya maana kabisa labda huku naweza kusaidiwa, lakini bado nina imani kabisa jibu langu nililopata ni sahihi kabisa Tanzania inaongozwa na Mwanafunzi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nimesikiliza hotuba ya Nyerere akizungumzia siasa ni kilimo ya mwaka 1972. Nimesoma kitabu cha maazimio hayo ambayo ilikuwa ni kuacha jembe la mkono, umwagiliaji, kulima kwa kisasa, kutumia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jenerali Ulimwengu amekuja tena na ujumbe mzito kwa tawala za aina ya kina JK, Mutharika, Mugabe, Museveni……ooh orodha ni ndefu sana. Kama hawakusikia ya akina Ben Ali na Mubarak sijui...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanasiasa mkongwe, kada na Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela, jana alikuwa kivutio kwenye kikao hicho cha CC baada ya kuonekana akisamiliana na wajumbe wengi ambao walimtakia pole ya homa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
kwa wale tunaofuatilia bunge la awamu ya nne utagundua kuwa wabunge wengi wa CCM wanapwaya katika bunge lenye upinzan imara, wengi wao bado wanaishi kwenye miaka ya 80 ambapo chama kilikuwa na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukiwa msomi ,ingawa bado sijui usomi unaanzia wapi na kuishia wapi,hii nchi ina wasomi gani wa kujivunia kwa waliyolifanyia taifa,maana kumezuka dhana siku hizi watu wenye elimu ya kawaida...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
"Nikiwa bungeni Dodoma nimefuatilia kupitia vyombo vya habari mdahalo wa katiba ambao umefanyika Ubungo Plaza. Natoa salamu za mshikamano na pongezi kwa waandaaji, watoa mada na washiriki wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa hotuba ya Lema bungeni wiki iliyopita kuna haja ya kuichagiza na nukuu za Malcolm X ili iwe ya moto zaidi. X alikuwa hana msalia mtume na mtu anayemnyanyasa kama vile Lema alivyojipambanua...
1 Reactions
34 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…