Tingatinga na Jeshi la kukodi kutoka CCJ vyote vyashindwa kukinusuru CCM.

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Mwanasiasa mkongwe, kada na Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela, jana alikuwa kivutio kwenye kikao hicho cha CC baada ya kuonekana akisamiliana na wajumbe wengi ambao walimtakia pole ya homa. Juzi, mkongwe huyo katika medani ya siasa, aliingia ukumbini akiwa ameongozana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete huku akionekana mwenye afya njema. Aliingia na kwenda moja kwa moja kukaa karibu na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, John Chiligati.

Yawezekana tinga tinga lililetwa makusudi kuipiga tafu CC ya CCM chini ya uenyekiti wa JK baada ya kushindwa kuukwaa mlima wa maamuzi mazito ya kuvua/kuvuliwa gamba ambayo yamekuwa yakihubiriwa na jeshi la kukodi kutoka CCJ. Lakini mambo hayakwenda hivyo !

Kama ilivyopangwa Tinga tinga mwenyewe ndiye aliyekuwa wa kwanza kurusha kombora la kukitaka kikao kiwatose watuhumiwa (?) wa Ufisadi. La haula ! Ukumbi ukawa kama vile umemwagiwa maji baridi na hakujitokeza hata moja miongoni mwa wajumbe kuunga mkono hoja hiyo.

Kama ilivyo desturi yake siku zote Mkuu wa dataz kwa kujua mission ya Dingi wake lakini bila kutafakari athari kwa tinga tinga iliyokosa dizeli kujaribu kuukwaa mlima likikokota zigo la Chama cha Magamba haraka haraka akakimbilia JF !
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!
Willie @ NYC, USA.
Na kama hili lingetokea, leo tungeshuhudia mengi kwani nyota zilizoanza kufifia, zingetupofusha tulio wengi kwa mwanga wake mkali.
 
unataka kumtoa nyoka pangoni?

Ni hivi Mkuu Saint Ivuga, imekuwa kawaida Tingatinga kutwishwa mzigo wa kuyakwamua magamba pale yanaponaswa kwenye ndoana za Upinzani na hasa Chadema. Aliwahi kuitwa hata baada ya kutangaza kustaafu kama unakumbuka wakati ulee katika jimbo la Busanda magamba yalipobanwa kisawasawa lakini hii ya kuitwa bila kujali afya yake hakika imetia fora. Ambacho magamba bila huruma walisahau ni kuwa safari hii Tingatinga ndio tu lilikuwa limetoka gereji na kisiki chenyewe kilichokuwa king'olewe kilikuwa kimejichimbia kweli kweli. Nitaendelea.............
 
Nadhani watu wamechukulia rahisi tu kujiuzulu kwa RA; Rostam aliamua tu kutuma message kwa CCM lakini ni kweli kama alivyosema kuwa hakujiuzulul kwa sababu ya kuzidiwa shinikizo. Hawa waliobakia si rahisi kuwaondoa kirahisi rahisi kwa sababu hawa inahitajika zaidi hoja za kisheria na kimantiki kuliko ilivyokuwa kwa RA.

Njia pekee kwa Chenge lazima ihusishwe na Meremeta na Tangold - tatizo la hilo linagusa wengi.. suala la Lowassa lazima lihusiane na Richmond, well hilo sasa limekuwa gumu kama wameshindwa hata kuja na kesi dhidi ya Gire wataweza kuja na kesi dhidi ya EL?

Matokeo yake ukiondoa ubabe ni vigumu kuwaondoa hawa wengine. Feeling niliyo nayo ni kuwa EL na AC wanaweza kutumia kanuni za chama na kuwekwa under probabiton au onyo na mambo yakaisha kiutuzima. Hawawezi kuwalazimisha dhaidi ya sasa na CCM ikabakia salama.
 
Subiri NEC kama mlivyoahidiwa,by the way kumbe kina lema walikuwa wanajua pinda na mbowe walidiscuss muafaka!!... kumbe kinaeleweka eee!!
 
Evidence please.

Maneno tuwache vijiweni, jukwaani tuweke na walau kaushahidi.
 
Nadhani watu wamechukulia rahisi tu kujiuzulu kwa RA; Rostam aliamua tu kutuma message kwa CCM lakini ni kweli kama alivyosema kuwa hakujiuzulul kwa sababu ya kuzidiwa shinikizo. Hawa waliobakia si rahisi kuwaondoa kirahisi rahisi kwa sababu hawa inahitajika zaidi hoja za kisheria na kimantiki kuliko ilivyokuwa kwa RA.

Njia pekee kwa Chenge lazima ihusishwe na Meremeta na Tangold - tatizo la hilo linagusa wengi.. suala la Lowassa lazima lihusiane na Richmond, well hilo sasa limekuwa gumu kama wameshindwa hata kuja na kesi dhidi ya Gire wataweza kuja na kesi dhidi ya EL?

Matokeo yake ukiondoa ubabe ni vigumu kuwaondoa hawa wengine. Feeling niliyo nayo ni kuwa EL na AC wanaweza kutumia kanuni za chama na kuwekwa under probabiton au onyo na mambo yakaisha kiutuzima. Hawawezi kuwalazimisha dhaidi ya sasa na CCM ikabakia salama.

Aisee kuna ile thread uliianzisha kwamba jamaa wastay put CCM haina cha kuwafanya, iko wapi? nimeitafuta siioni I think it's more relevant now!!
 
CCM imeshafiliska sana kisiasa; sasa hivi inajaribu kupanda kwenye slippery slope, na ni lazima hataweza kufika huko kileleni iendako labda wabebwe na NEC tena.

attachment.php

hahashow.php.jpg
attachment.php

image.php.jpg
attachment.php

479381.jpg
attachment.php

55582.jpg
 
Siku Lowasa na Chenge wakitoka ndo tunakizika rasmi chama pinduzi. watang'ooka na wengi humo kama KJ naye ni fisadi tu
 
Back
Top Bottom