Mpendazoe akamatwa kwa kutishia bastola Shinyanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpendazoe akamatwa kwa kutishia bastola Shinyanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mapujds, Aug 1, 2011.

1. M

Mapujds JF-Expert Member

#1
Aug 1, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Kazi ipo sasa,jamaa anajiandaa kutake over nafasi ya shibuda nini?

2. Arafat

Arafat JF-Expert Member

#2
Aug 1, 2011
Joined: Nov 17, 2009
Messages: 2,582
Likes Received: 33
Trophy Points: 0
Alamsiki Mpendazoe safari ya Ukombozi husitegemee barabara ya lami na VX, kuna sehemu lazima utachomwa na miiba jitahidi vuta pumvi bado mwendo kidogo tutafika.

3. Mwita Maranya

Mwita Maranya JF-Expert Member

#3
Aug 1, 2011
Joined: Jul 1, 2008
Messages: 10,567
Likes Received: 95
Trophy Points: 145
Kwamba mahaka ya arusha ilipotoa arrest warranty kwa freeman mbowe, polisi kanda maalum ya dsm walihakikisha wanamkamata mara moja na kumsafirisha kwa ndege ya jeshi chini ya ulinzi mkali hadi arusha.

Kkwamba mpendazoe amekuwa akitafutwa na jeshi hilo hilo la polisi kwa kuwa anaishi dsm pale pale walipomkamatia mbowe na kumpeleka arusha, kwa maana kwamba polisi shinyanga na polisi dsm hawana mawasiliano na hawana ushirikiano.

4. Rweye

Rweye JF-Expert Member

#4
Aug 1, 2011
Joined: Mar 16, 2011
Messages: 14,528
Likes Received: 2,615
Trophy Points: 280
Msiogope wakati wa kudai uhuru wakoloni walikuwa wakatiri mpaka waafrika wengine walikatwa mikono yao na bado uhuru ulikuja...in the end there is a way where there is a will!

5. Ben Saanane

Ben Saanane Verified User

#5
Aug 1, 2011
Joined: Jan 18, 2007
Messages: 14,604
Likes Received: 3,609
Trophy Points: 280
Naomba signature yangu iendelee kuwapa nguvu wanaharakati wote,wapenda haki na uhuru wa kweli

6. Quinine

Quinine JF-Expert Member

#6
Aug 1, 2011
Joined: Jul 26, 2010
Messages: 8,715
Likes Received: 6,681
Trophy Points: 280
Kumbe nikitenda kosa Mwanza nikaenda kuishi Arusha polisi watanisubiri hadi nirudi Mwanza ili wanikamate hii nayo mpya ya mwaka.

7. Mungi

Mungi JF Gold Member

#7
Aug 1, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,959
Likes Received: 369
Trophy Points: 180
polisi wa shinyanga wana akili kama ya kondoo, mbona Robert Kisena alimpiga mateke OCD wa Maswa na hakuchukuliwa hatua yoyote?

8. P

Phillemon Mikael JF Gold Member

#8
Aug 1, 2011
Joined: Nov 5, 2006
Messages: 8,339
Likes Received: 1,706
Trophy Points: 280

9. A

Adam Mwimbwa New Member

#9
Aug 1, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

10. Laurence

Laurence JF-Expert Member

#10
Aug 1, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 3,105
Likes Received: 35
Trophy Points: 145

Siunajua R.Kisena na Riz1 wakoje mkuu? Jamaa angesemewa kwa Jk

11. TECHMAN

TECHMAN JF-Expert Member

#11
Aug 1, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 2,679
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Je katika hili tukisema ccm wanamiliki polisi watabisha, walipewa oda kutoka ccm makao makuu ili wamu harasi tu, eti alimtishia mtu bastola mwaka jana, alafu akamatwe leo, eti kwa kuwa alikuwa mbali tulikuwa tunamsubiri aje huku, sasa asingekuja je? inamaana polisi wa Dar hawa uhusiano na wahuko shy town? huyu kamanda wala hana aibu ni ccm full.

12. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#12
Aug 1, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,639
Likes Received: 216
Trophy Points: 160

ndo yale mambo ya kingship style of ruling mtoto wa mfalme naye mfalme mungu turehemu na janga hili..

13. Nebisirwe

Nebisirwe Senior Member

#13
Aug 1, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 169
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Du tangu mwaka jana? Mapambano yako hivyo si rahisi saana naizo zimo

14. nditolo

nditolo JF-Expert Member

#14
Aug 1, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 1,261
Likes Received: 222
Trophy Points: 160
Hiyo ndo polisi. Ipo siku tutayasahau yote.

15. hengo

hengo JF-Expert Member

#15
Aug 1, 2011
Joined: Jun 6, 2011
Messages: 404
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Acha kuropoka unatuaibisha, aliyekamatwa ni Fredy Mpendazoe siyo Freman Mbowe.Uwe unasoma thread kwa makini dogo.

16. Mzito Kabwela

Mzito Kabwela JF-Expert Member

#16
Aug 1, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 17,396
Likes Received: 1,552
Trophy Points: 280
Bwahahaha hayo ndio mazingaombwe ya jeshi letu

17. Mzito Kabwela

Mzito Kabwela JF-Expert Member

#17
Aug 1, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 17,396
Likes Received: 1,552
Trophy Points: 280
Mkuu unaonaje ukitulia ukasoma mawazo ya wenzako ukaelewa kuliko kukurupuka?
Amesema hivi, Kesi ya Mbowe ilikuwa Arusha lakini Mbowe alikamatwa Dar na kupelekwa kwa ndege Arusha.
Mpendazoe alifunguliwa kesi Shinyanga anaishi Dar lakini polisi walishindwa kumkamata, sasa kama mazingira ya Mbowe na Mpendazoe yanafanana inamaana Polisi wa Dar na Shinyanga hawawasiliani?
Ni hayo tu

18. zumbemkuu

zumbemkuu JF Bronze Member

#18
Aug 1, 2011
Joined: Sep 11, 2010
Messages: 8,937
Likes Received: 489
Trophy Points: 180
msamehe bure, konyagi za tandale zinamatatizo yake.

19. FiQ

FiQ JF-Expert Member

#19
Aug 1, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 479
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Mkuu hata mm nimeshangaa sana hilo, kwani dsm hakuna jeshi la polisi?it simz huyo kamanda wa polisi Shinyanga ni kilaza na kusema hvyo amejiaibisha!

20. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#20
Aug 1, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 36,593
Likes Received: 15,028
Trophy Points: 280
mkuu signatute yako sio ya kujifariji zaidi?

Loading...