Lema soma nukuu za Malcolm X zitakusaidia kutimiza adhima yako

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Kwa hotuba ya Lema bungeni wiki iliyopita kuna haja ya kuichagiza na nukuu za Malcolm X ili iwe ya moto zaidi.

X alikuwa hana msalia mtume na mtu anayemnyanyasa kama vile Lema alivyojipambanua katika andiko lake kama wazir kivuli wa mambo ya ndani.

Namkumbusha Lema apitia pia nukuu za mwanaharakati Malcolm X zitamsaidia siku zijazo katka wadhifa wake.

Nawasilisha

ungetusaidia kuweka baadhi ya mistari maana wengine hatujamsoma Malcon X

Elimu ya Lema ni ndogo sana hana upeo wa kikielewa kwa hiyo amalizie shule kwa mpango wa QT kwanza.

a
Huu ujinga wa kuthamini makaratasi watu wote makini walishauonaga hauna maana yoyote, hatuitaji PHD kama za akina Balali kwa ajili ya kuja kutuibia.
Profesa anaweza akawa anajuwa kuhusu minyoo tu, sasa kwa wewe ambae hujakwenda shule unadhani makarasi ndio kuelimika pole sana. ujinga ni mzigo mzito kuliko zigo la misumari.
Wewe kama una elimu kubwa unaweza kuaminiwa na wananchi kupewa hata uenyekiti wa mtaa? watu kama nyinyi huwa mnaitwa machakubimbi.

Kwa hotuba ya Lema bungeni wiki iliyopita kuna haja ya kuichagiza na nukuu za Malcolm X ili iwe ya moto zaidi.

X alikuwa hana msalia mtume na mtu anayemnyanyasa kama vile Lema alivyojipambanua katika andiko lake kama wazir kivuli wa mambo ya ndani.

Namkumbusha Lema apitia pia nukuu za mwanaharakati Malcolm X zitamsaidia siku zijazo katka wadhifa wake.

Nawasilisha

Nukuu zipi hizo? Si ungezimwaga jamvini na sie wengine tuzione

lete nukuu ili hata sisi zitusaidie mkubwa kwani humu jf tunajengana wote.

Nilikuwa na kazi kidogo,nimeona watu wanazihitaji nukuu zake mwanaharakati wa haki za weusi huko marekani.Kitu kimoja wanachofanana na lema ni kuwa Jamaa hakuwa na shule kubwa kivile but he was naturally inteligent guy.
Nukuu zake ni nyingi,nawapa hizi tatu mjaribu kumatch na hotuba ya lema iliyowachoma ndungai,lukuvi,polisi,ccm na serikali
''You are not to be so blind with patriotism that you face reality.Wrong is wrong,no matter who does it''
''I'm for truth no matter who tells it.I'm for justice,no matter who it is for or against.I'm a human being first and foremost and as such Im for whoever and whatever benefits humanity as a whole''
''Be peaceful,be courteous,obey the law,respect every one,but if someone puts his hand on you,send him to the cemetery''

ongezea na hili:

"If you're not ready to die for it, take the word 'freedom' out of your vocabulary."*

I believe in a religion that believes in freedom. Any time I have to accept a religion that won't let me fight a battle for my people, I say to hell with that religion.*

Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.*

Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.

"Truth is on the side of the oppressed."

"Sometimes you have to pick the Gun up to put the Gun down"

"So early in my life, I had learned that if you want something, you had better make some noise."

"How can you thank a man for giving you what's already yours? How then can you thank him for giving you only part of what is yours?"

and lastly:

"Usually when people are sad, they don't do anything. They just cry over their condition. But when they get angry, they bring about a change."

Kwa kuwa Lema alijipambanua kwamba hana masihara kuhusiana na haki za binadam,nafikiri anafaa atumie approach ya Malcolm x,japo suala la kutetea haki lina misukosuko mingi pamoja na kufungwa jela au hata kuuawa kama malcolm x

Ngambo Ngali

Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.

"Truth is on the side of the oppressed."

"Sometimes you have to pick the Gun up to put the Gun down"

"So early in my life, I had learned that if you want something, you had better make some noise."

"How can you thank a man for giving you what's already yours? How then can you thank him for giving you only part of what is yours?"

and lastly:

"Usually when people are sad, they don't do anything. They just cry over their condition. But when they get angry, they bring about a change."
kwenye red ndiyo mpango mzima yaani hawachukia mda kuwatoa madarakani

Wengine tunatumia simu signature yako hatuioni, hebu iweke hapa mkuu kwa manufaa ya wanaotumia simu.

"Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it" - Malcolm X

Elimu ya Lema ni ndogo sana hana upeo wa kikielewa kwa hiyo amalizie shule kwa mpango wa QT kwanza.
Kwahiyo unataka kutuambia hana hata elimu ya O/A level??? Unamfahamu kweli au ndio yale yale ya kusikia?? Kumbuka we msomi "no research no right to speak", mwisho wewe utaonekana ndio hukuenda shule bure kwa kukosa kufanya research kwa hoja yako.

Back
Top Bottom