Wabunge wa ccm wanapwaya kwenye bunge la vyama vingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa ccm wanapwaya kwenye bunge la vyama vingi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mbasajohn, Jul 29, 2011.

 1. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa wale tunaofuatilia bunge la awamu ya nne utagundua kuwa wabunge wengi wa CCM wanapwaya katika bunge lenye upinzan imara, wengi wao bado wanaishi kwenye miaka ya 80 ambapo chama kilikuwa na uwezo wa kuwaamrisha wabunge kuptsha jambo fulan. Weng wao hawajui kaz ya wabunge hasa wale wa upnzan n nn! Kwan weng wao wamegeuka watetez wa serkal badala ya kuismamia.
  Wanakosa msmamo na hvyo kjkuta wanashndwa kutoa hoja za msng badala yake wanaishia kuwalaumu wenzao wa upnzan pale wanapokosoa serkal.
   
 2. D

  Dume la Shamba New Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ndiyo ukweli kuhusu Wabunge wa CCM. Wabunge hawa wengi wameingia kwa Rushwa tunao wengi wasio na elimu ya msingi unategemea nini?
  Ndani ya Bunge wako Wabunge walioishia darasa la Pili mfano Mbunge wa Njombe Kaskazini. Je anauwezo wa kujenga hoja za kuisimamia serikali?
  Wabunge wanapyaya sana
   
 3. franksarry

  franksarry JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 1,107
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa hawa jamaa walipukaji wamepwaya vibaya sana kihoja na kitija!
  maana ya ubunge ni kuirekebisha govt pale isipofanya kazi yk inayotegemewa but wao wanaitetea pasipo kujiuliza kulikoni kufanya hivyo.

  jana jioni nilishangaa sana pale wizara ya mambo ya ndani kushindwa kutoa maelezo ya kina khs kugawa fedha kutokana na mahitaji husika kwa mikoa, idara mbalimbali.
  jamaa wanalalamika kama Chadema, madai ya msingi kabisa but waziri na naibu wahusika wanatoa utetezi wa hovyo kabisa mpk mtazamaji unajua kabisa but at the end wao wanalipuka kwa kupiga kelele kuzipitisha hoja ambazo wao wanazilalamikia! mtu unajiuliza hv huu ni ujinga, ushabiki au upumbavu kabisa!! yaani inasikitisha sana!

  Bunge la miaka 90s pale Karimjee ndilo hasa lilikuwa bunge bora kwa hawa walipukaji! ss wabunge bora ni wapinzani. enzi za wakina Mh Mrema na wengineyo.
  kuna baadhi yao kama Mh zambi wa mbozi yuko makini ktk kazi yake, nadhani kule mbozi yule dogo mh shilinde anamchachafya vibaya akirudi kwao kwa wanyika, jamaa hawa wanyika they r very serious ktk maslahi ya wilaya yao. Its ma wish jamaa mh zambi akajiunga na chadema ili kuleta madaliko ktk wilaya yao na kuongeza nguvu mjengoni....

  Wengine kama mh mhagama alitoa mchango mzuri wa kutaka maelezo ya wizara husika kwa mkoani mwake songea, anakuwa mkali but at the end anakuja sema ooooo basi mh waziri uniahidi mwaka ujao kama sungura akikuwa mkubwa ukumbuke kwetu songea!!!!!

  Huu msamiati ambao hawa jamaa waliochoka kufikiri wa KUSEMA SUNGURA WETU MDOGO... ni lini sungura anakuwa mkubwa kama mbuzi??

  Wabunge wa CCM nao wanamruhusu mh naibu speaker nae kuwa msemaji wa govt, mambo ya msingi yakijadiliwa anakimbilia kutoa utetezi kw niaba ya govt ooooo waheshimiwa wabunge kama mjuavyo ka sungura bado ka dogo tusubiri akue kidogo!

  Wanazidi kupwaya kama huo usemi wa SUNGURA MDOGO ndiyo unazidi kudumaza uwezo wao wa kufikiri ktk kuifanya kazi yao ya utetezi wa wananchi.....!


   
 4. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wabunge hawa wanasahau kuwa serikal n kama namba tano kwenye mpira wa miguu na wao n sawa na mashabk na kama 2navyojua beki anatakiwa kusifiwa pale afanyapo vzur na akkosea mashabk lazma wapge kelele kumkmbsha vngnevyo ataharb lakn wao sasa wanafanya knyume kabsa yaan wanamsfia huy bek hata akfanya vbaya na hvyo ksababsha penat kweny uchumi na maendeleo ya nch.
  Wanapwaya kwa sabab wanamwona nyoka ndan kwao halaf wanachekelea huk nyoka huyu akiendelea kuua ndan kwao.
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Bado dhana ya uwakilishi wa wananchi haijawa sawa miongoni mwa wabunge wengi ,wanachofanya ni kuhakikisha hawapotezi heshima ndani ya chama ,na sio kwa wananchi
   
 6. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mi nadhan dawa ya kuwafanya watu hawa wajue kaz yao 2nayo cc wapga kura 2sdanganyke mwaka 2015 kwa kuhakksha wote walio kuwa wanafanya kaz za chama bungen badala ya kuwatumikia wananchi 2cwachague watu hawa.
   
 7. M

  Mwakanosya L New Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wengi wao wamewekw madarakani kw msaada wa pesa za walipa kodi, hawajapita kw uwezo wao, dats a problem
   
 8. M

  Mwakanosya L New Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha umenifuraisha coz this time naangalia bunge na nnamsikia mbunge wa ccm akisungumzia hako kasungura
   
 9. M

  Msilanga Member

  #9
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hoja watazitoa wapi, wakati walio wengi wameingia kwa sababu ya pesa walizonazo na sio uwezo wa kufikiri walio nao? Nakubaliana na anayesema dawa tunayo sisi wapiga kura! Sasa kazi kubwa ni jinsi gani ya kuwaelewesha watanzania wanaodanganywa kwa vizawadi vya kilo za nyama wakati wa uchaguzi!!!!!
   
 10. N

  Ngoks Member

  #10
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2015 ndiyo mwisho wao
   
Loading...