MLIMANI TV LIVE:James Mbatia aongelea mstakabali wa nchi

Mapujds

JF-Expert Member
May 12, 2011
1,286
127
Ndugu wanajamii mheshimiwa James Mbatia yupo live mlimani tv akiongelea maswala mbalimbali yahusuyo nchi yetu.Ameongelea maswala ya bunge na namna ambavyo linaweza kuongelea na kuendesha mijadala bila kujali maslahi binafsi.ameeleze kiuhusu chama tawala kilivyo na wabunge wenge bungeni kama asilimia 78 lakini bado wanashinwa kupambana kwa hoja na wapinzani ambao kwa mtazamo wake ndiyo ambao wanaliendesha bunge kwa sasa japo ni asilimia 22 tu.
Pia kaongelea maswala ya maandamano yanayoitikisa nchi,amesema nchi kwa sasa inatakiwa kuwa na umoja bila kujali itikadi ya vyama na kuacha kubaguana kijimbo, kidini na kikabila kwani kuna mpasuko ambao unainyemelea nchi.Pia amewataka baadhi ya wabunge wa chama fulani kuacha dhana ya kujiona wao ndio bra kuliko wengine (magamba)
Pia ameongelea swala la umeme kuwa nai swala ambalo serikali haikujiandaa mapema kukabiliana na tatizo hilo.Anasema kuwa serikali ilishauriwa kuwekeza kwenye gesi asilia ambayo ujazo wake ni cubic metre tillioni 2 na kama serikali ingefata ushauri nchi ingezalisha umeme mwingi na haata kuuza nje.
 
akafute kesi kwanza.
 
Kama unaangalia tv muda huu nyie ndio mnaorudisha maendeleo ya taifa hili nyuma

siku zote mkiambiwa ukweli mnabwawaja ila siku zaja hata kenya ilikuwa hivihivi ila tulishuhudia KANU ikipotea hadi leo
 
ahaa wapi huyu sijui kama mzima tangu wakwaruzane na mrema ana jipya, kama hakuweka kujipima na Halima sasa wa nini yeye kama mwenyekiti hata robo yake hakufika tumpimeje huyu mwenye kigoda? bora angejiandaa upya kwa kurekebisha kauli zake za awali labda tunaweza kumsamehe.
 
Kama unaangalia tv muda huu nyie ndio mnaorudisha maendeleo ya taifa hili nyuma
<br />
<br />
usiwe na akili fupi kama za mende,unafikiri kila mtu yuko ofisi ambazo hazina tv?mi niko ofisini kwangu kwenye mgahawa na ndipo ninapoijenga nchi,fikiri kwa upeo wa juu wewe na sio kimagamba.
 
Back
Top Bottom