CCM ya 'copy and paste'! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ya 'copy and paste'!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FUSO, Aug 2, 2011.

 1. F

  FUSO JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  Wandungu,

  Yule mdudu wa Copy and Paste ndani ya CCM ameshamniri baada ya Kamati kuu kukubaliana na Hoja binafsi iliyopelekwa Bungeni na mbunge kijana wa CHADEMA John Mnyika huhusu kushusha bei ya Mafuta hasa ya taa kupitishwa rasmi jana kwenye kikao chao cha kamati kuu.

  Nimeshangaa kusikia kamati kuu ya CCM jana imeiagiza serikali kushughulikia swala hilo haraka sana ili kuwapatika wananchi nafuu hasa wa vijinini kujipatia nishati hii muhimu kwa bei nafuu. Napata wasiwasi juu ya uwezo wa Bunge letu ambalo awali halikuweza kuipitsha hoja hii ya Mnyika sababu tu ni kwamba lililetwa na Mbunge wa Chadema, kweli huu ni udhaifu mkubwa hasa ukizingatia majority ni wabunge wa CCM.

  Sasa leo hii hao wabunge (hasa wa CCM) wakisikia kwamba Chama chao kimeridhia hoja hii na kuiangiza serikali kuchukua hatua je watajisikiaje? Hongera sana mbunge wangu John kwa kuona mbali, hata kama watashusha mafuta haya lakini sisi lazima tunaziweka mbele Juhudi zako kamanda wetu, bila wewe hili lisingefanyika kabisa.

  Pole pole tu wanaanza kulainika.

  Habari zaidi kuhusu hoja ya Mnyika Bonya Hapa: JOHN MNYIKA: Marekebisho niliyowasilisha kupunguza bei ya mafuta
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  Mbona hamtaki kuchangia - ina maana mnaipongeza kamati Kuu ya CCM kwa hoja hii?
   
 3. s

  smz JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM hawana haja ya kuumiza vichwa. Wanaoendesha nchi wapo - ni CDM. Kwa hiyo ccm wao wanachofanya ni kutekeleza ilani ya CDM indirect. Mbele ya bunge wanakuwa wabishi kweli, lakini wakisharudi maofsini wanatekeleza hicho hicho walichoambiwa na CHADEMA.

  So CDM fanyeni kazi ya kuongoza nchi.
   
 4. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mimi kinachonishangaza ndani ya CCM ni kuwa, wakiwa bungeni wanaema serikali ya CCM, wakiwa ndani ya chama, serikali ya CCM, sasa wao ndo wanamiliki kila kitu yaani serikali na chama, sasa inakuwaje Kikwete anajipinga mwenyewe? Halafu wanakuja na hoja kuwa wanauwajibikaji wa pamoja, hii si upuuzi?

  Nchi imewashinda, mwishowe watashindwa na kuturuka kwenye kila walichosema, mfano kujenga barabara Serengeti wote tumeshuhudia. Unajua hii issue ya kudandia hoja ya CDM itwaumbua maana, hawawezi kutekeleza kile ambacho hawajui strategy yake. Nawaomba CDM muendelee kuwabana, maana ni dhahili kuwa watashindwa yote ya kwao na ya CDM.
   
 5. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hawana jipya kilichobaki ni kuiba hoja za wapinzani.
   
Loading...