Kumuita Kikwete Dr. sio "kuchakachua" usomi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumuita Kikwete Dr. sio "kuchakachua" usomi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Andrew Rweikiza, Oct 19, 2010.

 1. A

  Andrew Rweikiza New Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika siku za karibuni utambulisho wa JK kuitwa Dr umepamba moto hasa kupitia TBC1. Kila nikisikiliza taarifa utasikia Dr. Kikwete kafanya hiki, mara kile..Binafsi naona huu ni uchakachuaji wa elimu. Nia hasa ya vyombo hivyo vya propaganda ni kutaka kufananisha usomi wa mgombea wa chama fulani (ambaye ni PhD holder) na wa Kikwete. Binafsi sifurahii sana kusikia mtu aliyepewa heshima tu, kwa sababu zinazojulikana kwa Wakenya waliompa, akijinadi kwa kujiita Dr. In fact, it doesn't sound well! Tusome jamani!:A S angry::glasses-nerdy:
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Waliamua kumuita hivyo ili kuwachanganya wananchi wa kawaida.... ambao hawataweza kutofautisha udokta wa Kikwete (wa kupewa tu) na udokta wa Slaa (wa kusomea na kupass mtihani).
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  :whistle:
   
 4. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  udaktari wa slaa ni sawa na form 6....wa kutoa sacramenti....na kufungisha ndoa....hamna kitu hapa.....udaktari wa kikwete ni wa heshima baada ya kufanya ubunifu mwingi kwa maendeleo ya watanzania...
  Hata phd ni reseach work tu.....sasa kama umefanya mengi kwa ubunifu basi unastahili phd...uelewa wake ni zaidi ya aliekwenda chuo kikuu.
  Wacheni wivu...jamaa ni zaidi na zaidi
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Hebu subiri kwanza
   
 6. minda

  minda JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hivi ni wakenya au kanisa katoliki huko marekani ndio lililompa hadhi/nishani hiyo?
  kwa vyovyote ile ni sahihi kabisa mkuu kuitwa vile hata hivyo naungana nawe katika hili kwa maana hata tcu walitahadharisha baadhi ya taasisi kutoa nishani bila kuangalia utendaji wa mhusika. kwa upande wa utendaji wa jk bado binafsi sijaona cha sana.
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  hata form 6 wa kizazi hiki cha dot com ni wasomi kushinda yeye... Simply slaa ni kilaza
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  naona ulikufanyia huu ubunifu chumbani ndo maana peke yako unaujua ubunifu wake
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kilaza kama ulivo wewe jitu zima unaweka avatar mtu anakojoa..shame..
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Achana naye mkuu anajifurahisha tu. Anadhani hiyo avatar itamfanya baba yao mwisrael a give in zaidi ya kuendelea kuwadunda?
   
 11. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  HAHA HIYO PICHA SI MTU ANGALIA TENA... NI KIKARAGOSI KINAKOJOLEA TAIFA LA VILAZA, alafu mimi siye niliyetoa ahadi ya kusomesha BURE

  yaani elimu bure kuanzia nursery school hadi Uni.. tatizo slaa anafkiri wa tz woote ni vilaza kama yeye tunaweza kuamini ahadi kama hizo ! mathematically hiyo kitu ni impossible katika nchi yenye watu million 40 .
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kanitibua sana huyu...asante kiongozi kwa muongozo
   
 13. M

  Mikomangwa Senior Member

  #13
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njiwa what do you mean impossible? tatizo umefunikwa blanketi la ufisadi, you can't see beyond ccm!
   
 14. G

  Genda Member

  #14
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, penda msipende!
   
 15. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  It is impossible kusomesha wananchi bure nchi nzima,!!!! LAKINI is possible kubandika mabango ya matangazo ya sura yake yanayogharimu mabillion nchi nzima!!! Nani Kilaza hapo kati ya hao wawili??? Toa jibu , ukishindwa kutoa jibu rahisi kama hilo basi nawewe ni kilaza zaidi ya huyo bosi wako Mr. Kikwete
   
 16. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Anything to backup your claims!
  Usipotoa ushahidi, tutahesabu una kapu la chuki. Kumwita Kikwete Dr. sio issue, ila vyombo vya habari sometimes...vina mislead purposely!
   
 17. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Hujui lolote! Mapadre wanakula kitabu ile mbaya ila kwa vile hujui kitu ni kama usiku wa giza!
   
 18. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Source
  Hapa kuna bias fulani tu uliyo nayo. Sio bure. Hawa jamaa sio vilaza!
  List ni ndefu mno, kama bado unabisha gonga hapa uone reaserch za watu wanaofanya tafiti na sio kuropoka tu!
  Swali la mwisho, Albert Einstein alikuwa kilaza?

  Ninavyofahamu (ruksa kunirekebisha), najua Slaa amesema mpaka form 6 sio uni! Na ningpenda kujua Phd ya Slaa ni ya nini?
  Thanks
   
 19. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Na wewe ni great thinker????

  Hukumtendea haki unayemtetea.....yaani ni ujuha mtupu? unaposema ana uelewa zaidi ya aliyekwenda chuo kikuu kwani JK hakwenda chuo kikuu????

  Na Phd ya Dk Slaa ni ya kufungisha ndoa????....yaani umegeuza hapa JF ni kule kijijini kwenu mnakowadanganya wananchi walioishia Darasa la pili wakaachishwa ili walime na kuolewa????????

  Hapa unawaandikia wajuzi....acha mvuke!!!!
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  He is a national SHAME..Inashangaza hakemei hili na anakenua tu..kuonesha anafurahia :jaw:
   
Loading...