Sitta atoboa siri ya CCJ

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
sita

ameereza nijinsi gani wenye pesa ndani ya ccm walivo kuwa wamepania kumtowa ikashindikana kwamaelezo yake anasema vyama vingine vilimshawishi kugombea uraisi bado alibaki imala anashanga kusakamwa

mimi sihusiki na ccj hao walionifata nyumbani kunitaka nijiunge na vyama yvao leo wananipaka matopo kajifananisha na chuma chapuwa hakuna mwanachama aliye pata misukosuko kama 6 kayaeleza hayo mbeya

chanzo live G fm mbeya
 
Mkuu mbona hueleweki? Hiki ulichoandika ni kiswahili au? Unasoma darasa la ngapi?
 
sita

ameereza nijinsi gani wenye pesa ndani ya ccm walivo kuwa wamepania kumtowa ikashindikana kwamaelezo yake anasema vyama vingine vilimshawishi kugombea uraisi bado alibaki imala anashanga kusakamwa

mimi sihusiki na ccj hao walionifata nyumbani kunitaka nijiunge na vyama yvao leo wananipaka matopo kajifananisha na chuma chapuwa hakuna mwanachama aliye pata misukosuko kama 6 kayaeleza hayo mbeya

chanzo live G fm mbeya

Duh JF siku hizi kuna vituko.
 
jamani huyu jamaa yuko mbeya anatujuza yanayotokea kwenye mkutano wa magamba. Please be in context when reading.
 
Unapopost usitetemeke mkubwa,tulia andika kitu chenye maana siyo unaandika utadhani ni mipasho.rudia tena ulikuwa unamaanisha nini?
 
Mshkaji umeandika kisukuma, maana hivyo vishindo!!!!! sijakupata.
 
kikupacho raha na uchungu kitakupa , atukuelewi point yako
kwani huyu sita wa ccj wako wapi au wanajisafisha , nimesikia wanakuja
mbeya lile kundi lote la CCJ NAPE, MAKIEMBE, SITA ,OLE SENDEKA.
ANNA KILANGO HAO NDIYO WAANZILISHI CCJ WAPO MBEYA TAYARI?????????
 
Sasa wewe umeelewa nini ?.
Mimi nilichoelewa ni kuwa leo mkutano wa CCJ uliofanyika Mbeya umefana sana maana karibu viongozi wakuu wote wa CCJ walikuwepo
Sitta
Nape
Mwakyembe
Mama Kilango alikuwepo ila sina uhakika kama Malecela alikuwepo au aliwakilishwa na mrs
Kingine nilichoelewa ni kwa Sitta badala ya kueleza sera za CCM anaeleza mambo ya CCJ
hongera sana viongozi wa chama kipya
 
jf samahani kama sijasomeka tarifa nilizopata watu wamekusanywa wajumbe 2 kira mtaa mbeya na wiraya zote wamelipiwa nauli na msosi mimi nipo kwenye gali g fm imeacha kusikika
 
jf samahani kama sijasomeka tarifa nilizopata watu wamekusanywa wajumbe 2 kira mtaa mbeya na wiraya zote wamelipiwa nauli na msosi mimi nipo kwenye gali g fm imeacha kusikika
Umesomeka vizuri tu wanaojifanya kutokuelewa ndio habari imewaingia kisawasawa wanakusumbua hao tunawajua.
wewe endelea kumwaga mambo kama kuna mtu hajui maana na tofauti ya sili na siri aache kusoma.
 
Hivi haya maneno ameereza,sili,atobowa maana yake nini.Ndugu zangu haya mambo mengine yanakera sana.Mtu uko JF siri unaiita sili.Noma sana.Sili ni neno lenye maana tofauti kabisa.Jitahidini basi msiabishe JF.Watanzania kweli tu viazi kiasi hicho,hapana, siamini.

Back
Top Bottom