I was privileged to watch Honourable Didas Masaburi, His Worship the Mayor of Dar es Salaam, firing a salvo with a lot of gusto, at some Members of Parliament who blew the whistle on the UDA...
Habari vipi wandugu? Ndugu zangu wana JF naomba kuwaulizeni kuwa wewe umelisaidia vipi taifa lako? Mkoa wako? Wilaya/jimbo lako? Tarafa yako? Kata yako? Mtaa/kijiji chako? Au mnaishia tu kuandika...
Kazi ya msanii ni kuburudisha na kufundisha. Hivi tukiwaangalia wasanii wetu wanayatimiza vipi mambo haya mawili na mhimu? Ukiachilia Mpoto, Wagosi wa kaya, Mr. 2, Roma (huyu anatisha kwa maana...
..nimesoma kwamba wazee hawa wamemtuma Zitto Kabwe awakutanishe na wabunge vijana.
..lengo ni kuwafunda jinsi ya ku-behave wakiwa ndani ya bunge.
..nakumbuka ktk semina moja Dr.Salim na Jaji...
Samahani wadau, najua suala hili lilishawahi jadiliwa sana humu jamvini, lakini naomba tena kuuliza ili wanaolifahamu vizuri watujuze nasi. Jana usiku taarifa za habari za itv na tbc zilimuonyesha...
Ndugu zangu,
Pichani ni ushahidi wa kilichotokea miaka ya 70 wakati wa utekelezaji wa Azimio la Arusha na sera ya Vijiji Vya Ujamaa. Mabaki haya ya makazi ya wananchi wakati huo bado...
Mheshimiwa katibu mkuu kiongozi bwana F. Luhanjo ule muda wake wa miaka miwili aliyoongezwa umeisha rasmi Alhamis tarehe 4/8/2011 lakini kuna tetesi ya kuwa tajiri wetu JK anataka kumuongeza miezi...
WANACHAMA 395 wa chama cha mapinduzi (ccm) wilayani Kilwa, mkoani Lindi wamejiunga na CUF baada ya kuchukizwa na mfumo wa stakabadhi ghalani katika ununuzi wa zao la ufuta. Akizungumza jana jijini...
Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amepinga vikali utafiti uliofanywa na Synovate na kuonyesha vyama vya upinzani vikiongozwa na Chadena wanaungwa mkono zaidi dhidi ya CCM.
Ifuatayo ni sehemu ya...
Nimevujishiwa habari kuwa kuna Ufisadi mkubwa ulifanyika ndani ya Jeshi letu lenye heshima la JWTZ. Ufisadi huo ulifanyika mwaka 2006 pale JWTZ ilpouziwa ndege na helkopta zilizochakaa wakati...
Wakuu wote tulimsikia Nape na makada wa CCM na hata TRA walipokuwa wakikomalia kodi kutoka mshahara/ posho ya Dr. Slaa ya 7m, Inaonyesha dhahiri hawa jamaa walikuwa na uchungu kweli na the so...
Ni muhimu kuwa makini na tafiti za Synovate hawa ni matapeli. Hawa jamaa wanawaona Watanzania kuwa ni wajinga kiasi cha kuchota akili zao kwa tafiti za kubuni.
Hawa jamaa wanajua kuwa Dr Slaa ni...
Jimboni Rorya kutakuwepo na uchaguzi wa madiwani wa kata tatu tofauti 02/10/2011 ambapo kampeni zitaanza 07/09/2011 kata hizo ni:
1. Nyahongo
2. Mkoma
3. Nyamtinga.
Madiwani wa kata hizo tatu...
An article on a big US-based agri-business company which intends to invest heavily in Tanzania has appeared in some US newspapers, and picked by one of the English weeklies.
According to this...
Hii ni hotuba ya iliyoandikwa na mfungwa mswahili, ni hotuba inayosisimua sana, hotuba hii inaeleza uhalisia wa maisha ya gerezani, inaelezea ombwe la uongozi lililopo katika nchi yetu, imeenda...
Tume ya taifa ya uchaguzi(NEC), imepanga october 2, mwaka huu kuwa siku ya uchaguzi mdogo wa ubunge, jimbo la i.gunga. msimamizi wa uchaguzi huo protace magayane, alisema fomu za uteuzi wa...
Friday, 05 August 2011 08:31
WASEMA WAMECHOSHWA NA MAWAZIRI WANAOLALA ,PINDA ANUSURU BAJETI YA UCHUKUZI
Mussa Juma, Dodoma
BAADA ya kuitoa jasho Serikali katika mjadala wa Bajeti ya...