HOTUBA YA MFUNGWA: Wanasiasa na wadau wote wapenda haki na maendeleo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HOTUBA YA MFUNGWA: Wanasiasa na wadau wote wapenda haki na maendeleo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by erneus kyambo, Aug 5, 2011.

 1. e

  erneus kyambo Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni hotuba ya iliyoandikwa na mfungwa mswahili, ni hotuba inayosisimua sana, hotuba hii inaeleza uhalisia wa maisha ya gerezani, inaelezea ombwe la uongozi lililopo katika nchi yetu, imeenda mbali zaidi kuonyesha gap lililopo kati ya watawala na watawaliwa pia mfungwa huyu amejitahidi kuongelea umuhimu wa katiba mpya na anamalizia kwa kutuasa vijana tusikate tamaa kwani Tanzania mpya ipo kama sio kwetu basi itakuwa kwa watoto wetu,na ametoa onyo kwa watoto wa mafisadi yatakayo wakuta huko mbeleni kwani kipindi hicho watoto watu hawatakuwa na subira na uvumilivu tulio nao sisi.
   
Loading...