Kiti cha Presidaa kina nini?

Kiti cha Presidaa kina nini?

Komeo

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Posts
2,498
Reaction score
1,172
Samahani wadau, najua suala hili lilishawahi jadiliwa sana humu jamvini, lakini naomba tena kuuliza ili wanaolifahamu vizuri watujuze nasi. Jana usiku taarifa za habari za itv na tbc zilimuonyesha JK akisaini kitabu cha wageni kule VETA Ntwara (sijakosea, ndivyo inavyotamkwa), akiwa amekalia kiti kinachofanana kabisa na kile anachotumia siku zote akiwa Ikulu. Je, ni kile kile ila kilisafirishwa tu kwa kazi hiyo, au vipo vingi hata VETA wanavyo?
 
Bila shaka aliambiwa na shekh yahya kuwa atembee nacho
 
Hata kipindi anazunguka mawizarani kile kiti kilikuwa kinaenda kila wizara au ndo mambo ya ulinzi na usalama wa kilaza!
 
We unazan kwnn watanzania wengi wanamchukia! Muhula ulyo pita alikaidi mashart hivyo akamuua kulitekeleza sasa ili angarau apate hata salam na kurudsha heshma!
 
Hahah...nitaanza kufuatilia hili!lol
 
Huenda ni sharti la Shekhe Yahaya kwamba asikalie kiti kingine, ipo siku ****** ataanza kwenda nacho kwenye zile safari zake za kuzunguka dunia. Yetu macho
 
inawezekana anaweza akaki'dismantle na kuki'asemble, ndo maana ni rahisi kwenda nacho popote, viti km hivyo sisi waganga wa jadi lushoto tunavi'design vina masharti yake. teh teh teh teh!
 
Hicho akikiacha nadhani anaweza akaanguka jukwaani.
Kipo kwenye ile bajeti ya ikulu iliyopewa jina la "MAMBO MENGINEYO" iliyopingwa na Mnyika.
 
mwenzake alikuwa anatumia kifimbo yeye anatumia kiti kuonyesha uvivu wake.
 
inawezekana anaweza akaki'dismantle na kuki'asemble, ndo maana ni rahisi kwenda nacho popote, viti km hivyo sisi waganga wa jadi lushoto tunavi'design vina masharti yake. teh teh teh teh!

Oooh tate nane mbavu zangu mie!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom