Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Moses Kyando, Jul 4, 2011.

 1. Moses Kyando

  Moses Kyando Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]An article on a big US-based agri-business company which intends to invest heavily in Tanzania has appeared in some US newspapers, and picked by one of the English weeklies.

  According to this article, which the local newspaper gave a screaming headline of ‘US investor set to acquire large chunks of land in Tan...zania’, the intention of t...he investor is to bring modern and sustainable agriculture to the country, so that even small holder farmers can learn techniques of the 21st century farming.

  The land earmarked for the massive grain and livestock operation is not less than 800,000 hectares.

  If things go as planned, the company will secure a 99-year lease of the extensive area “for the purpose of growing crops to be sold in the country, the rest of East Africa and other neighbour countries”.

  Some of the experts and international NGOs specializing in Third World development trends are already sounding an alarm about land grabbing in some countries by foreigners, who take advantage of poverty and corruption in targeted regions to effect their mission.

  Question here is: who should have powers to give 800,000 hectares to a foreigner under a 99-year lease????
  [/h]
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 280
  duh! hii ni hatari sana.
   
 3. il dire

  il dire Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  dah hili suala linasikitisha haingii akilini kama tunasheherekea miaka 50 ya uhuru wakati ukoloni mambo leo emeshika kasi ya ajabu. hivi hawa viongozi wetu watasema nn kwa vijukuu vyetu pale watakapo hire all the land ukiachia hizo hectares tena kwa 99 yrs. shame upon us all.
   
 4. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  inafanana sana na hii, au siyo!?
   

  Attached Files:

 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  kwani wewe mpaka sasa umeshaambiwa nini juu ya mikataba ya akia chifu Mangungu, Mkwawa, Carl Peters nk ...ina tofauti yoyote na IPTL/RICHMOND, Meremeta nk!!???
   
 6. Moses Kyando

  Moses Kyando Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]An article on a big US-based agri-business company which intends to invest heavily in Tanzania has appeared in some US newspapers, and picked by one of the English weeklies.

  According to this article, which the local newspaper gave a screaming headline of ‘US investor set to acquire large chunks of land in Tan...zania’, the intention of t...he investor is to bring modern and sustainable agriculture to the country, so that even small holder farmers can learn techniques of the 21st century farming.

  The land earmarked for the massive grain and livestock operation is not less than 800,000 hectares.

  If things go as planned, the company will secure a 99-year lease of the extensive area “for the purpose of growing crops to be sold in the country, the rest of East Africa and other neighbour countries”.

  Some of the experts and international NGOs specializing in Third World development trends are already sounding an alarm about land grabbing in some countries by foreigners, who take advantage of poverty and corruption in targeted regions to effect their mission.

  Question here is: who should have powers to give 800,000 hectares to a foreigner under a 99-year lease????
  [/h]
   
 7. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Afadhali hata hao wakija tutapata chakula na kupunguza utapiamlo, kuliko tuliowapa madini wanakamua peke yao sisi tunaishia kuomba chakula cha msaada. Nchi ishauzwa hii, we fikiria hapo jamaa hadi kuruhusi ardhi yote hiyo kakatiwa bei gani?
   
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Hii ndio tz chini ya uongozi wa ccm!!
   
 9. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndio matokeo ya safari za marekani za mheshimiwa jk.....
   
 10. g

  gepema Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  the remaining thing to be sold in our beloved country is ourselves!!!!
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
   
 12. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kinachofanywa na serikali ya Kikwete ni ugaidi kwa watanzania. Ni hatari kuliko hata ugaidi wa Osama bin laden.
   
 13. A

  ANNASTACIA Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du hii nchi imezidi sasa maana tunapoelekea sio pazuri, Mungu tu atufunulie viongozi wanaotufaa
   
 14. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wakuu afadhali imegundulika kabla ya huo mkataba hatari kusainiwa, tuukatae ukoloni huu kwa nguvu zote wandugu!
   
 15. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  JK ni mtu wa hatari sana kwa nchi yetu!
   
 16. h

  hamidshaban JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Lukindo. Waombe radhi wahehe. Mkwawa hakuwa mpumbavu kiasi hicho. Hakuwahi kuingia mkataba wowote wa kijinga namna hiyo. Nakwambia kwa uzalendo ushujaa na akili zake ucmfananishe na magamba ya sasa. Ni kama mashariki ilivyo mbali na magharibi!
   
 17. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Msamehe bure, alipitiwa tu!
   
 18. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  sawa mkuu nimepitiwa, naomba utoe msaada wa 'mdau' mwingine yeyote wa nyakati hizo.
   
 19. L

  LENIN'S Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We shall learn the techniques of how 2 run agriculture in 21 centrury only if we give hectors of land for nearly a century!shame.
   
 20. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hili jambo nililisikia wakati fulani nikafikiri it was a joke! kumbe sasa linaelekea kuwa kweli. Mungu atunusuru kwamba huo mkataba uwe haujasainiwa. Watanzania tumekwisha. Watawala tuliowachagua wenyewe sasa wanaturudi bila huruma. Eee Mwenyezi Mungu tusaidie kuinusuru nchi yetu. La hatari zaidi ni kwamba tumebaini sasa kwamba hata huko mjengoni wale wawakilishi wetu wanapitisha miswada mbalimbali na kugonga meza kwa ushabiki kuuuuuumbe WANA BAHASHA KWENYE MA-BRIEF CASE yao. Siri nje sasa kumbe ndiyo style yenyewe hiyo. Utashangaa kila kitu wanashangalia na kupitisha mjengoni kumbe wameshahongana. Jamani tutaponea wapi??????
  Ndiyo maana utashangaa mbunge mwingine unayeamini amekwenda shule lakini anasimama na kuongea pumba pumba pumba mpaka nywele zinawasha unashindwa kuamini kumbe aishaweka bahasha kibindoni!! Eeee Mungu tusaidie na mafisadi hawa.
   
Loading...