NEC yapuliza kipenga uchaguzi wa Igunga

mzee wa mawe

Senior Member
Aug 2, 2011
151
15
Tume ya taifa ya uchaguzi(NEC), imepanga october 2, mwaka huu kuwa siku ya uchaguzi mdogo wa ubunge, jimbo la i.gunga. msimamizi wa uchaguzi huo protace magayane, alisema fomu za uteuzi wa wagombea wa vyama vyote, zitatolewa kuanzia Agosti 24 hadi septemba 6, mwaka huu. kuanzia septemba 6 itakuwa ni uteuzi wa wagombea. uteuzi huo utaendelea hadi tarehe 7 siku ambayo pia imepangwa kupokea pingamizi, alisema. kwa mujibu ya msimamizi huyo, kampeni zitaanza semptemba 7 hadi october mosi, mwaka huu Alisema kuanzia septemba 7 hadi octoba mosi, mwaka huu itakuwa ni kampeni kwa wagombea kwa vyama vyote vyenye wagombea. magayane alisema uchaguzi utafanyika octoba 2 na kwamba, tarehe 3 na 4 zitakuwa siku za kujumlisha matokeo na kvangaza mshindi. uchaguzi huo unafanyika kuziba pengo liloachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Rostam Aziz.

Mungu ailaze roho ya chama chake mahala pema peponi!

Kampeni itapendeza,tutaenda na kila kitu
magari,
vifaru,
baiskeli,
mabajaji,
pikipiki,
vikundi vyaa taarabu,
bongo fleva nk

Tume wafanyie mazoezi zile mashine/ mitambo ya uchaguzi iliyogoma 2010 kama kweli they are after solutions

Kampeni itapendeza,tutaenda na kila kitu

magari,

vifaru,

baiskeli,

mabajaji,

pikipiki,

vikundi vyaa taarabu,

bongo fleva nk

Mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, intelijensia, hedikofta 2 2, tbccm kwa ajili ya kuchakachua habari, nk nk.....

Ngoja tuone matokeo yatakuwa vipi..natamani ilo jimbolichukuliwe na upinzani(sio CUF)

hapo ni mwanzo wa kupimana ubavu, baada ya uchaguzi mkuu chama kipi umaarufu wake umekua na chama kipi umaarufu wake umeshuka? yaaani cpati picha itakuaje.

wanaigunga cdm mliopo hapa please toeni elimu ya kutosha kwa wenzenu wasije wakawa bado wamelewa kwa porojo za rostam

Nawasi na CUF pale Igunga, najua Lipumba atatumia uzalendo wake wa eneo hilo.

Kampeni itapendeza,tutaenda na kila kitu
magari,
vifaru,
baiskeli,
mabajaji,
pikipiki,
vikundi vyaa taarabu,
bongo fleva nk

Nafikiri sasa hivi John Komba kashatunga wimbo, naambiwa wataimba uleule uliozoeleka.... Mwenzeeetu, nduguyeetu anataka kuulaaaaaa,,,, aiiiiiiiiii igunga jimbo leeetu, linatuponyokaaaaaaa. Roosta, ndugu yeetuuu tutaadhirikaaaaaaa aiiiiiiiiiiiiiii, taifaaa, lachekelea, CHADEMA, NA CUF wanalitamani, kumbe tumefanya uzembe na siasa za uchwaraaaaaa, aiiiiiiiiiiiiiiiii.....

Back
Top Bottom