Jairo Hana Kesi ya Kujibu?

VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
785
Sakata la huyu swahiba wake JK Bw. Jairo wa wizara ya nishati limeishia wapi? Manake naona kimyaaa ama ndio imetoka tena hiyo.
 
Very misleading title. One gets an impression that the case has been concluded and that the guy has no case to answer.
 
Hiyo kesi iko likely kufa kifo cha asili kwa vile Jairo kwa hakika hakuwa peke yake kwenye lile jambo.
 
Sakata la huyu swahiba wake JK Bw. Jairo wa wizara ya nishati limeishia wapi? Manake naona kimyaaa ama ndio imetoka tena hiyo.
<br />
<br />
title mbaya, maelezo mabaya ndani ya muda mbaya, umeniharibia siku.
 
title ya thread haiendani na content tuliza na upreview kabla ya kupost
 
Watu wengine hovyoo...umenyimwa cha asubuhii nn ukaona utoe stress jamvini kwa kuleta title iliyo tofauti na nyama zake
 
Ana kesi gani? Kwani yeye ametumika kama chambo..ngeleja, malima walikuwa na mikono yao kwenye hiyo rushwa.
 
Watu wengine hovyoo...umenyimwa cha asubuhii nn ukaona utoe stress jamvini kwa kuleta title iliyo tofauti na nyama zake
Haaa haaa wadau wana hasira na nchi yao ukiona wanakasirika hivi...usipende kuturusha roho na taito zako halafu haziendani na unachoandika mkuu..
 
Ukiona kimya ujue ndiyo imetoka hiyo. Tatizo ni kwamba huo utaratibu ndiyo unatumika kwa wizara zote hivyo kumwajibisha yeye ni kumuonea tu mtoto wa watu, serikali yetu ni ya kifisadi kuanzia juu mpaka chini.Tukitaka haki itendeke tuiondoe CCM madarakani kwani ndiyo muasisi wa ufisadi na siasa za kulindana.
 
Mi naona tuwe subra labda mchakato unaendelea.
 
Hili la kuchangisha pesa iko karibu katika killa wizara. Inaweza kuwa na majina tofauti km Budget Preparation. Kinachoshitua watu ni amount ya pesa zilizotakiwa kuchangwa. Pesa hiyo ilikuwa kwa matumizi yapi haswa?
 
1st class citizen issue zao na makosa yao yanakuwa handled tofauti na isse na makosa ya 3rd class citizen.

Ukiliewa hilo basi unaweza kujua nini kinaendelea. Hope unawafahamu 1st class citizen a na d 3rd class citizen. na nchi yetu ina utaratibu tofauti tofauti kwa makosa yale yale. inategemea uko tabaka gani.
 
Ngugu huo ni mlango wa kutokea mbona wewe unaingia?jifunze kuoanisha vichwa vya habari na maudhui yake.
 
Very misleading title. One gets an impression that the case has been concluded and that the guy has no case to answer.
it seems you haven't read and understood the heading. look, there is question mark here.
 
Political Culture! Han acha kujibu kweli, sababu ni utamaduni alioukuta na akauendeleza..itabidi waanzie kwa Katibu wote toka enzi za Ben
 
Back
Top Bottom