Luhanjo kuongezewa miezi 3? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Luhanjo kuongezewa miezi 3?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Divele Dikalame, Aug 4, 2011.

1. D

Divele Dikalame Member

#1
Aug 4, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 77
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mheshimiwa katibu mkuu kiongozi bwana F. Luhanjo ule muda wake wa miaka miwili aliyoongezwa umeisha rasmi Alhamis tarehe 4/8/2011 lakini kuna tetesi ya kuwa tajiri wetu JK anataka kumuongeza miezi mitatu, sijui miezi hiyo kwa faida ya nani au kwa lipi la maana kumfanya huyu mtu kuendelea kuwa hapo, hivi hakuna wazalendo wengine wanaoweza kushikilia nafasi hiyo? watu kama mzee George Yambesi au George Masaju,Juma Mwapachu,Saad Fungafunga ni wazalendo wazuri wana haki kabisa ya kuchukua nafasi hiyo lakini inashangaza JK kutaka kumng'ang'ania Luhanjo haya ni mashaka makubwa sana.

2. Njowepo

Njowepo JF-Expert Member

#2
Aug 4, 2011
Joined: Feb 26, 2008
Messages: 9,296
Likes Received: 381
Trophy Points: 180
Hajapata mrithi si unajua kuna haja ya kutunza siri za kambi

3. nyabhingi

nyabhingi JF-Expert Member

#3
Aug 4, 2011
Joined: Oct 12, 2010
Messages: 10,903
Likes Received: 5,364
Trophy Points: 280
mpaka ahakikishe amefukia soo la jairo ndo achukue trilioni zake kadhaa akapumzike west indies

4. N

NDOFU JF-Expert Member

#4
Aug 4, 2011
Joined: Feb 23, 2009
Messages: 656
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Anazidi kumpendeza prezidaaa!

5. F

FJM JF-Expert Member

#5
Aug 5, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 8,088
Likes Received: 90
Trophy Points: 145
Sijui hao wengine, lakini George Yembesi -BIG NO. Hana ubunifu wowote, alikuwa katibu mkuu wizara ya utumishi ambayo ndio imekuwa inaratibu mpango wa e-government! Hakuna kitu kimefanyika, ukienda kwenye mawizara mafaili yamezagaa kila mahala hata sijui wanajuli lipi ni lipi?

6. Mzee Wa Rubisi

Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

#6
Aug 5, 2011
Joined: Nov 6, 2010
Messages: 1,754
Likes Received: 71
Trophy Points: 145
Swaiba

7. Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

#7
Aug 5, 2011
Joined: Aug 9, 2007
Messages: 14,582
Likes Received: 1,675
Trophy Points: 280
Pole sana Taarifa zinasema huyohuyondie anayefuatia!

8. B

Bukyanagandi JF-Expert Member

#8
Aug 5, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 7,534
Likes Received: 3,869
Trophy Points: 280

9. JS

JS JF-Expert Member

#9
Aug 5, 2011
Joined: Sep 29, 2009
Messages: 2,065
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
Hakuna aliyempendeza Rais ndo maana anataka kumuongezea muda

10. k

kinyongarangi Member

#10
Aug 5, 2011
Joined: May 4, 2011
Messages: 67
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
masaju ni Bogas wala usimtaje kabisa. umesahau suala la kesi ya katiba?

11. B

Bukyanagandi JF-Expert Member

#11
Aug 5, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 7,534
Likes Received: 3,869
Trophy Points: 280

Mkuu una maana gani kumtajia JK majina! Yeye kama kiongozi wa nchi ana weledi mkubwa tu wa kujuwa afanye nini at any given time, sisi raia hatupashwi kumpangia TIME LINE ya kubadilisha/kutehua viongozi. Threads nyingi humu zima anzishwa kwa nia nzuri tu yaani kwa masilahi ya TAIFA, lakini kuna wakati mwingine zinaletwa hoja ambazo ukiangalia kwa makini unaona kuna an hidden agenda ya kujaribu kuwapamba watu au kuwabomoa kwa hila tu.

12. G

Gagnija JF-Expert Member

#12
Aug 5, 2011
Joined: Apr 28, 2006
Messages: 6,316
Likes Received: 618
Trophy Points: 280
You're not serious. Unataka Luhanjo aondoke kwa kuwa umri wake umepitiliza, which is right. Lakini mbona huyu Juma anamzidi umri Luhanjo, inakuwa vipi hapo?

13. PhD

PhD JF-Expert Member

#13
Aug 5, 2011
Joined: Jul 15, 2009
Messages: 3,819
Likes Received: 818
Trophy Points: 280
katibu mkuu kiongozi mpya aliyekuwa akiaandaliwa ni JAIRO ajali ya juzi Bungeni ndio imevuruga mambo yaani hata rais amepata kigugumizi hajui afanye nini

14. B

Bukyanagandi JF-Expert Member

#14
Aug 5, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 7,534
Likes Received: 3,869
Trophy Points: 280

Mkuu una maana gani kumtajia JK majina! Yeye kama kiongozi wa nchi ana weledi mkubwa tu wa kujuwa afanye nini at any given time, sisi raia hatupashwi kumpangia TIME LINE ya kubadilisha/kutehua viongozi. Threads nyingi humu zima anzishwa kwa nia nzuri tu yaani kwa masilahi ya TAIFA, lakini kuna wakati mwingine zinaletwa hoja ambazo ukiangalia kwa makini unaona kuna an hidden agenda ya kujaribu kuwapamba watu au kuwabomoa kwa hila tu.

15. S

Stuxnet JF-Expert Member

#15
Aug 5, 2011
Joined: Feb 12, 2011
Messages: 1,016
Likes Received: 42
Trophy Points: 145
David Jairo ameingizwa kingi na watoto wa mujini akina Januari Makamba! Hii inanikumbusha wakafi wa awamu ya tatu wakati BWM alitaka kumteua Odemba wa aliyekuwa MD waNasaco kuwa Gavana as BOT. Watoto wa mujini wakainyaka na wakamsukia dili la kumuuzia madini feki ya uranium, na alipofika sehemu ya tukio akakutana na wana usalama wakalishughulikia. Huo ukawa ndiyo mwisho wa Odemba. Nasikia yuko USA ni lecturer. Mara nyingine wakuu hawasikii inabidi wataalamu wafanye mambo kama hayo

16. h

hoyce JF-Expert Member

#16
Aug 5, 2011
Joined: Oct 26, 2010
Messages: 1,119
Likes Received: 14
Trophy Points: 135

Lazima wamtajie majina, maana Kikwete amethibitisha kuwa kwa utashi wake anateua mafisadi. Na washauri wake kama wewe mmeshindwa kumsaidia. Mfano ni huyo huyo Luhanjo mambo yake tunajua alivyokuwa anashirikiana na Lowassa na EMMANUEL Severe, angalia uteuzi wa kina lowassa, Ngeleja,Chenge kwenye serikali yake ya kwanza; kina Makamba, Rostam, Meghji kwenye CCM secretarieti ya kwanza. Hata huko kwenye usalama, kuna madudu tu, Unataka mifano zaidi?.

17. S

Stuxnet JF-Expert Member

#17
Aug 5, 2011
Joined: Feb 12, 2011
Messages: 1,016
Likes Received: 42
Trophy Points: 145

18. M

Mbopo JF-Expert Member

#18
Aug 5, 2011
Joined: Jan 29, 2008
Messages: 2,532
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Jamaa imempendeza amtaje Mwapachu bila kujali umri wake. Anashindwa kuelewa kwamba Mwapachu alishafikisha umri wa kustaafu miaka mingi iliyopita na teuzi zake zimekuwa zinazingatia umuhimu wake kuliko umri wake. Lakini la kujiuliza ni kwamba kuna tatizo gani kwa mtu kupewa nyongeza ya mkataba kama anafanya kazi nzuri? Luhanjo aachwe aendelee kuchapa kazi kwa maslahi ya Taifa, labda Rais mwenyewe aamue kwamba sasa ni wakati wa kumpumzisha.

19. M

MWENDAKULIMA JF-Expert Member

#19
Aug 5, 2011
Joined: Jul 17, 2009
Messages: 961
Likes Received: 23
Trophy Points: 35
Sure? isije kuwa unachanganya na Bakari hao ni dugu moja.Nafikiri mkuu amekusudia Juma aliyekuwa S.G wa EAC

20. Khakha

Khakha JF-Expert Member

#20
Aug 5, 2011
Joined: Jul 15, 2009
Messages: 2,983
Likes Received: 371
Trophy Points: 180
Shostito

Loading...