Uchaguzi Rorya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi Rorya!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JACADUOGO2., Aug 5, 2011.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jimboni Rorya kutakuwepo na uchaguzi wa madiwani wa kata tatu tofauti 02/10/2011 ambapo kampeni zitaanza 07/09/2011 kata hizo ni:
  1. Nyahongo
  2. Mkoma
  3. Nyamtinga.
  Madiwani wa kata hizo tatu walijiuzulu kuanzia December 2010 kutokana na ufisadi wa Lameck Airo ambaye ni mbunge wa jimbo la Rorya (CCM) na hao madiwani wote waliojiuzulu walikuwa ni wa Chama cha Magamba (CCM)!
  Naomba wanarorya wote mimi nikiwa mstari wa mbele tuungane ili kukomboa hizo kata kwa kuzipeleka CHADEMA!
  Hii ni pamoja na kata zingine 19 ambazo jumla ya hizo kata kwa pamoja ni 22 na bila kusahau jimbo letu la IGUNGA!
  PEOPLE'S ........!!!!!
   
 2. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sasa hivi chadema wana kata ngapi?
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  kuikomboa Rorya ni kuipa kura Chadema?
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Mapambano bado yanaendelea!
   
 5. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rorya si alikuwaga Marando huko itabidi asaidie sana.
   
 6. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mzito kabwela, kuikomboa Rorya ni kuikabidhi kwa CHADEMA kwani ndani utawala wa MAGAMBA halmashauri ya Rorya imepata hati chafu mara tatu mfululizo!
  Ngonini, CHADEMA ina kata 9, Magamba ilikuwa na kata 11 kabla ya majamaa kujiuzulu, kwa hiyo magamba mpaka sasa wamebaki na kata 8 na Magamba B kata 1, jumla 21.
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Wewe Jacaduogo utakuwa wewe ni JOHN MASHAKA. kwa maana wewe ndo unatarajiwa kugombea ubunge jimbo la Rorya 2015 kupitia chama gani vile? Usijifanya msomi sana na mkombozi wa Rorya. Tupo wachapakazi kimya tu. Tunasubiri kuingia kitaa....Lameck Airo Fisadi Jambazi la Ng'ombe
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hao hao walio jiuzulu wagombee tena ila kwa chama tofauti na ccm
   
 9. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kumbe hata kuingia bado kazi kuendeleza majungu tu wanaojua kuwa ni jambazi ni wapiga kura wake.
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono.
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu rorya mmekuwa midebwedo kama tarime,

  Mkifanya bidii mkapata hizo kata tatu mnaweza kuikamata halmashauri ya rorya kwahiyo mkawa na mwelekeo mzuri kuelekea 2015.
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwanini walijiuzulu? je wanaweza kufaa kuwa "candidates material" kwa opposition?
   
 13. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema ndio nini? ondoa upumbavu wako!
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Changia hoja punguza mzuka.
   
 15. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,142
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  kwa nini walijiuzulu hao madiwani ?
   
 16. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  huko ni jirani na home nitatinga kuwapa tafu wakuu...ccm wasikae mkao wowote bali wapishe mapemaaa! na serengeti kwetu tangu january kata ya mugumu mjini haina diwani tangu alipofariki diwani ryoba (cuf)...nimewasiliana na uongozi wa cdm wilaya tumeshauriana waandike barua ya kuhoji kulikoni...na kama hatutapata majibu yakinifu, wananchi watakua na haki ya kuhoji hadharani kwa njia yeyote watakayoona inafaa.
   
Loading...