Tuwafanyeje wasanii wetu waongezeke ktk game la ukombozi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwafanyeje wasanii wetu waongezeke ktk game la ukombozi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Paul Kijoka, Aug 6, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kazi ya msanii ni kuburudisha na kufundisha. Hivi tukiwaangalia wasanii wetu wanayatimiza vipi mambo haya mawili na mhimu? Ukiachilia Mpoto, Wagosi wa kaya, Mr. 2, Roma (huyu anatisha kwa maana kuwa amekuja kwa kasi katika kuamasisha vijana) na wenginewamekuwa, waliowengi wamekuwa wakiimba mapenzi na mambo yasiyohusu maisha ya watanzania walio wengi hasa masikini na wakulima.

  Ikumbukwe hapa naongelea wasanii wa mziki wa kizazi kipya. wapo wale waliodiliki KUJIKOMBA kwa magamba hawa ni pamoja na akina A-Y, Marrow, Wanaume makundi yote (kina Nature, Mh. Temba, Chege) na hawa comedy original ( hawa si wanamziki) Mimi hawa nawaita MISUKULE/ WASALITI au WANAOJIKOMBA.

  Hoja yangu ni kwa nini hawa jamaa wanaendelea kuwa hivyo hivyo bila kubadilika? Hivi hawajui nchi ina matatizo au wanajikomba wapewe viti maalum bunge lijalo?

  Ebu tujadili maana tukiwapata hawa tutapata wapunge huru ambao watusaidia kufichua movu na kuiamsha jamii.
   
Loading...