Utafiti wa Synovate ni kiini macho ni upuuzi mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti wa Synovate ni kiini macho ni upuuzi mtupu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Aug 5, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni muhimu kuwa makini na tafiti za Synovate hawa ni matapeli. Hawa jamaa wanawaona Watanzania kuwa ni wajinga kiasi cha kuchota akili zao kwa tafiti za kubuni.

  Hawa jamaa wanajua kuwa Dr Slaa ni kipenzi cha Watanzania waliowengi kwa sasa, wanachofanya ni kuteka akili za watu hapa mwanzoni ili watu waone kuwa utafiti wao ni wakweli ili baadaye waendewe kwa rushwa na wajinga watoa rushwa ili waendeshe tena zoezi hapo baadaye kwa kutoa matokeo mengine yenye tofauti kulingana na wanachotaka ili wakubalike kwa sababu walishawachota akili zao na kwa kuwa CCM imezoea rushwa lazima itawatumi baadaye ili kuonyesha sasa mtu wao anakubalika kuliko Dr Slaa.

  Hawa matapeli mengi yakiwayametoka Kenya yanatuona Watanzania hamnazo. Wajinga nyie imekula kwenu hatudanganyiki kipumbavu hivyo. Tunawashauri muache kucheza na akili za Watanzainia na tafiti zenu hatuzitaki.
   
 2. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwezi kufanya utafiti unaowajumuisha watu ambao tayari walisha gombea urais kama Dr. Slaa na Prof Lipumba na watu kama Sita na Mwinyi watu ambao hawajawahi kugombea urais, matokeo hayatakuwa sahihi.
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280
  Sijui ulitaka wafanyaje!! Maana wengene wamhoji JK kutohusishwa??
   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,833
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Bila kufanya tafiti kama hizi wata justfy vipi mishahara na posho zao?
   
 5. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nafikiri mkuu hujafuatilia utafiti wao na maelezo waliyotoa.Hao akina Slaa,Lipumba,Sitta nk,hawajahusishwa kwenye utafiti bali waliokua wanajibu maswali ndio waliowahusisha na walikua wanajibu swali lifuatalo;
  Kama uchaguzi ungefanyika leo,ungemchagua nani kuwa Rais wako?
  Tatizo hawajanifika kuniuliza ningeweza kujibu ni GAMBA JIPYA na ungetoka na asilimia zako kwenye utafiti.
   
 6. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inaonekana kama unasema ukweli kwa kiwango flani. YOTE KWA YOTE DR SLAA UBORA WAKE HAUWEZI KUTHIBITISHWA NA SYNOVET.ANAJIELEZA MWENYEWE ALIVYOKIONGOZI BORA NA SIYO BORA KIONGOZI.
   
 7. v

  vito Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafiti hutoa mwongozo kwa watu ili waweze kufanya maamuzi.kinachoonekana ni watu kutokubaliana na variables ambazo hawa jamaa walitumuia katika kuuliza hilo swali.Mimi ninachoangalia hapo sample size ni ileile iliyosema jk atashinda!ss kama wana jf wengi tunakubali kuwa dr slaa ni kiongozi na Muda unavyozidi kwenda watanzania watamkubali huu utafiti wao tuuchukue kama ishara ya mabadiliko 2015
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Ccm wapo kazini kuxcheza na kili za watz....................wanatumia vizuri fedha za epa walizokwapua huku tunakosa umeme,barabara, madawati,walimu tunashindwa kuwalipa......kwel hii nchi ya kikwete ni kiwete
   
 9. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Synovate ni wasomi uchwara wanaotumiwa for a stupid purpose.Huwa mimi sisomi report zao,it's nonsense.
   
 10. M

  Moghati Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  synovate nawaheshimu sana lkn kw hili mmechemsha...hivi mnamdanganya dr slaa eti uchaguzi ukifanyika saivi atashinda, swali wamepiga kura akina nani na wapi mbona mimi hawajanifikia...msimdanganye mzee wa watu acha ajizeekee au mnamtia moyo ili agombee tena ili cdm ishindwe. sitaki kuamini kama dr slaa amewahonga synovate ili watoe utafiti huo amboa wanazuoni tunahoji umefanyika wapi alafu pia hausaidii licha ya kupotosha watanzani...wana jf naomba kuwasilisha...
   
 11. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jamani hamtaki tafiti?utafiti unasema hivyo na ni ukweli kabisa dr yupo juu kwa sasa,sasa mlitaka waseme nini wakati ndiyo kazi yao?tuanze kujiamini na tuwe makini kuwachunguza ili watakapo kosea tuwarekebishe.
   
 12. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Usidanganyike ndugu yangu hawa synovate wanataka kujisafisha baada ya kufanya madudu walipoamua kupika data kwa maslahi ya ccm baada ya utafiti wa mwanzo kuuweka kwapani!
   
 13. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ishu ni kuwa hatuitaji utafiti wa synovate kujua slaa yuko juu maana tunajua. Hawa synovate waliboronga mwakajana kwa kutuletea matokeo feki, sasa hivi wanataka warudishe imani kwa wananchi. Kama wana ujasiri wa kutosha wasubiri 2015 ndio waje na utafiti kama huu. wanafiki wakubwa hawa.
   
 14. w

  wanan Senior Member

  #14
  Aug 6, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  wana jf tufanye nasi utafiti wetu.nani alipitiwa synovate na akipiga kura au kujibu swali toka hapo ndio tutajuwa jamaa kama ni wakweli au wanacheza na akili tuone sampling yao na ukweli na iman jf ina watu zaidi 10,000 ndani ya watz 40m.hivyo basi 40m/10,000 sawa 4,000 kila mtu anawakilishwa watu 4,000 vp inakaa vizuri hapo?
   
Loading...