kwa kuwa wengi wetu tutakuwa tukifuatilia kwa umakini kubwa mijadala ya bunge ili kuona nini kinafanywa na wabunge wetu, na kama ilivyo ada mchezo hunoga kama hata watazamaji wanazifahamu kanuni...
Wabunge acheni Ushamba wa Madiwani Momose Cheyo
Asubuhi leo katika mjadala wa Kipindi cha Tuongee Asubuhi Star TV nimefuatilia kwa ukaribu na tafakuri kubwa mjadala uliokuwa ukiendeshwa na...
je haki imeshatengeka? na sheria za madini je?
Dhahabu ya damu ya Bulyanhulu
1.haki itendeke kwa damu iliyomwagika
2. makampuni ya madini sasa iwe mwisho wa kupotea roho za watanzania bali...
JItihada za Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Raymond Mushi kuhakikisha muafaka unaoipendelea serekali na CCM unatetewa kwa bidii zote zimewafikisha madiwani 5 wa CHADEMA kupoteza kadi zao za...
Babu Kikombe alikuwa turufu ya Kisiasa?
Miezi minne iliyopita Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Ambilikile Masapila aliiomba Serikali imsaidie kupata gari la kubeba...
Nape, Makada wa CCM pamoja na TRA mlikuwa mstari wa mbele kuzungumzia na kufuatilia the so called mshahara/posho ya Dr. Slaa which is a good thing. Sasa kuna kada mwenzenu amekamatishwa milionni...
Wabunge wa Jiji la Dar es salaam tumesikitishwa na tuhuma za ufisadi, ukiukwaji wa sheria, kanuni na maslahi ya wananchi katika mchakato wa ubinafsishaji wa Shirika la Usafiri Dar es salaam (UDA)...
nauliza nani akienda igunga jimbo litarudi CCM? Maana kwajinsi makada wote walivyo na uwezo sijui nimpendekeze nani.
CCM imekamilika utadhani Barcelona!
1. Ni vigumu kuchukua jimbo lillilokuwa linashikiriwa na Chama Kingine
2. Kulikuwa na Ukiukwaji Mkubwa wa Sheria za Uchaguzi
3. Kumefanyika Uchakachua Mkubwa sana,kura za Chadema zimeibiwa
4...
chama cha mapinduzi kimetoa ratiba ya uchukuaji wa fomu jimbo la igunga ambapo tarehe 9-8-2011 hadi 13-8-2011 itakuwa ni siku ya kuchukua fomu na kurudisha, tarehe 15-8-2011 itakuwa ni siku ya...
ALIYEKUWA kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paschal Kahangala, amejiengua katika chama hicho na kuanzisha Chama cha Ukombozi na Maendeleo (Chauma).
Kahangala ambaye alipata kuwania ubunge...
HIVI KWA NINI SERIKALI YETU HAIPENDI TRANSPARENCY? ATUALLY KWA NINI WATANZANIA HATUPENDI TRANSPARENCY?
INFACT TUNAPENDA SANA KUCHAKACHUA...MPAKA JF NAYO INATUHUMIWA KUCHAKACHUA THREADS ZENYE...
Hivi karibuni kumeanza kuzuka minyukano ya hatari ndani ya Halmashauri ya wilaya ya ngorongoro. wilaya hii inayoshika nafasi ya pili katika kuchangia pato katika fuko la taifa hali imekuwa ni tete...
Wakuu mliopo Atown hivi hali ya kisiasa imekaa vipi huko kama kesho kamati kuu ya CHADEMA itaamua kuwafukuza wale madiwani 6 wanaosemekana wamewasaliti Chama? CHADEMA watapona kweli ktk uchaguzi...
Sheria ya kugombea ubunge kuanzia mwaka 2015 irejewe? Kwamba bila qualifications zifuatazo iwe stop?
1. Sharti uwe na shahada moja yoyote
2. Usiwe na uraia wa kuandikishwa?
3. Usiwe na Account...
BUNGE, kupitia Kamati yake ya Nishati na Madini litachunguza ufisadi wa zaidi ya Sh205.9 bilioni unaodaiwa kufanywa kupitia Kampuni ya uchimbaji madini ya Meremeta iliyokuwa ikimilikiwa na Jeshi...