Kanuni za kudumu za bunge, toleo la 2007 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanuni za kudumu za bunge, toleo la 2007

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jatropha, Nov 11, 2010.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  kwa kuwa wengi wetu tutakuwa tukifuatilia kwa umakini kubwa mijadala ya bunge ili kuona nini kinafanywa na wabunge wetu, na kama ilivyo ada mchezo hunoga kama hata watazamaji wanazifahamu kanuni za mchezo.

  Naambatanisha kanuni za kudumu bunge la jmahuri ya muungano wa tanzania ili tujijuze na tuweze kuwa na michango ya maana.


  naomba kuwasilisha!!!!!!!!
   
 2. J

  Jafar JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Thanks again
   
 3. Double X

  Double X Senior Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safiiii,thks sana!!
   
 4. Shomoro

  Shomoro Senior Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Senks
   
 5. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  gonga thanks!!!
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Asante
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  asante sana mkuu....
   
 8. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  ahsante sana
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  MZAHA WA CUF KUWA 'CHAMA TAWALA' NA 'CHAMA CHA UPINZANI' KWA WAKATI MMOJA KWA KIPINDI KILE KILE NDANI YA TAIFA MOJA!!!

  [​IMG]


  22.JPG

  525 × 700 - David Kafulila, Kigoma Kusini. Mkutano

  Ni gharama kubwa sana kwetu sisi wapigakura kuchagua baadhi ya vijana wasiokua na msimamo thabiti kwenda bungeni kutuwakilisha.

  Nilimtaza huyu Ndugu Kafulila kwa uchungu mkubwa sana jinsi alivyokua anaongea bungeni kutaka kulazimisha ndoa ya kisiasa kati ya CHADEMA na CUF wakati anafahamu fika kwamba CUF ni chama tawala ndani ya mipaka yetu hii ya Tanzania kwa mujibu wa mwafaka wake na CCM.

  Mtu asitfute njia ya mkato wa kutafuta CHADEMA kusaidia kusafisha uchafu wa utawal wa kisheria na kidemokrsia kama ambavyo CCM na CUF walivyojisababishia kwa MWAFAKA WA MAKAMBA kule Visiwani na sasa Mwafaka huo ulivyowaletea mikanganyiko ndani ya bunge la Muungano na hata kutishia kuvunja muungano wetu misingi ya kisheria itakapolazimika kuzingatiwa.

  Kwa mtaji wa kitendo tu cha bunge letu tukufu kule Dodoma ITAKAPOSHAWISHIKA KULAZIMISHA KUBADILISHWA KWA KANUNI YA BUNGE inayozungumzia sifa na muundo wa chama rasmi cha Upinzani bungeni basi moja kwa moja tangu hapo tujue kwamba taifa letu litakua limeingia moja kwa moja KATIKA MGOGORO WA KIKATIBA ambayo matokea yake huenda yasipendeze sana kwa wengi wwetu.

  Hakika mara baada ya CCM kulazimisha ndoa kati ya CUF na CHADEMA huku bara wakati wakijua kwamba kula Zanzibar ndoa ni kati ya CUF na CCM basi naona kuna uwezekano mkubwa wa WA KUZUKA KWA MISURURU YA KESI JUU YA MGOGORO WA KIKATIBA NA KUHITAJIKA KWEPO KWA MAHAKAMA YA KIKATIBA NCHINI AU WATU NA VIKUNDI VISIVYOAFIKI HIYO HALI KULAZIMIKA KWENDA MAHAKAMA YA KIMATAIFA KUTAFUTA HAKI ILI KUNUSURU MUUNGANO WETU TANZANIA.

  Mhe Kafulila, ulichukua angalau muda wako kuyafikiria haya kabla ya kuanza na mazungumzo yako kule bungeni???????????? Jamani tusipende kuleta majibu rahisi sana kwa swala ngumu kama hili.

  Mwafaka wa Zanzibar ulikua na nia nzuri kwa kutulete utulivu kule visiwani lakini kwa kuwa wahusika huenda walikosa ushauri mzuri kisheria na matokeo ya utekelezaji wa mwafaka wenyewe ndani ya muungano wetu hasa kwa vyama vingine ambavyo havikuhushishwa kwenye mwafaka huo ndio leo hii imetufikisha hapa.

  Nakumbuka sana Mhe James Mbatia alilipigia sana kelele wakati ule akitaka vyama vyote vya upinzani vihusishwa lakini kwa bahati maya sana hakusikilizwa na CCM. Inamaana Mbatia hakumpa briefing mbunge wake Kafulila juu ya ukwel huo???

  Kwa mantiki hii hata mtu akilazimisha kubadilisha kanuni za mchezo bungeni wakati timu tayari ziko uwanjani tayari kucheza, jamba ambalo kwanza si la kawaida na ni ukiukwaji mkubwa wa misingi ya demokrasia ya vyama vingi ndani ya himaya ya nchi za jumuiya ya madola, pamoja na yote CUF bado haingii kisheria ndani ya kambi ya upinzani mpaka kwanza ama:

  (1) CUF kijivue kutoka ndani ya mwafaka na CCM kule visiwani.

  (2) au Serikali itangaze wazi kwamba kwa mwafaka wa CCM na CUF basi tayari walishavunja Muungano wetu na Zanzibar ili Watanzania tujue kabisaa kwamba kumbe mpaka sasa hatuna muungano ndipo CUF ipate kukubalika Bara kama chama cha upinzani bila kutupa jicho kwamba kule Visiwani chama hiki kimekaeje bungeni huko.

  (3) Na kama hoja namba mbili ndio ukweli wa mambo ulivyo nchini mwetu basi kabla CUF haijavuka sakafu la bunge letu la muungano kule Dodoma kuja upande wa upinzani, kwa maana ya kwamba yanayoendelea bunge la Zanzibar sasa ionekane kana kwamba haituhusu huku Bara, basi kwanza ni sharti wabunge wote wa Zanzibar waondoke bungeni hapo bila kujali chama kilichomleta hapo bungeni.

  Watanzania tuliowengi sana hatupendi hata kidogo tunu letu 'Muungano' kuvunjwa na mtu yeyote lakini mantiki hoja yenyewe inatuelekeza hivyo kwamba CUF kuingia kambi ya upinzani huku bara basi maana yake Muungano ulishavunja na wabunge wote kutoka Visiwani ni sharti waondoke bungeni Dodoma.
   
 10. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Naomba mwenye soft copy ya kanuni za bunge anisadie
   
 11. t

  takeurabu JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usijadili usichokifahamu, swala la serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar ni swala la Kikatiba; kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar kwa sasa chama chochote cha siasa kitakachopata asilimia tano ya kura zote za mgombea urais wa zanzibar basi kitaingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa. kumbuka hii si matokeo ya muafaka kati ya ccm na CUF bali ni maamuzi ya wana Zanzibari wenyewe walipopigia kura rasimu ya katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana ambapo asilimi 66 ya wazanzibari walikubaliana na rasimu hiyo, hivyo kupitishwa kuwa katiba kamili. kwa hiyo hata CDM kingepata asilimia 5 basi nacho kingekuwa sehemeu ya serikali ya umoja wa kitaifa; nakushauri usibeze vitu ambavyo hata kwa CDM vinaweza kutokea.
   
 12. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Umenipoteza kabisa,nilidhani umeweka hizo kanuni ili tujadili na kulinganisha na hali halisi.poa lakini.
   
Loading...